Sababu zinazofanya wanaume waishi muda mfupi kuliko wanawake..

Sababu zinazofanya wanaume waishi muda mfupi kuliko wanawake..

Sisi ni risk takers for the sake of our families

Kwa minajili hiyo mie nawapenda wanaume sanaaa na kuwaheshimu...

Ila kwa minajili ya ku-take risk ya kulala n akila K unayoiona kwa kisingizio cha chapa ilale ........
Nawaona minyoo tuu hadi kiwi inishike.

Kuna risk nyingine mnafanya za kingese sana hadi tunawaona maboya....

Anyways that's nature maana hata sie wanawake tuna risk zetu huwa tunazifanya..... uthubutu wa hali ya juu, mwisho wa siku tunasameheana tuu.

Matata K.
 
Back
Top Bottom