Sababu zinazokufanya usipungue ingawa unafanya mazoezi

Sababu zinazokufanya usipungue ingawa unafanya mazoezi

s
Najitahidi ingawa kuna muda nashindwa maana kuacha chips yai au chips vuruga kabisa ni ngumu aisee
i rahisi bi
Najitahidi ingawa kuna muda nashindwa maana kuacha chips yai au chips vuruga kabisa ni ngumu aisee
ni vigumu ila ukitia nia unaweza japo dunia karibu yote inaamini katika wanga so uzalishaji wa vyakula vingine si kwa wingi ka wanga, ila ukiweza epuka wanga na sukari kwa uaminifu pasipo kujidanganya unaweza kufikia lengo lako mapema sana. miezi mitatu unakuwa umefikia unapotaka
 
Hivi bia nayo ni sababu moja wapo ya mtu kunenepa??
 
At the end of the day, utaishi maisha yako yote unsatisfied kwasababu ya mwili wako. Which could be a genetic issue as well.

Life is short, live it to the fullest in the way you like. Hakuna haja ya kuadapt to societal norms.
 
Kama huwez diet fanya mazoezi magumu sio jogging au cardio kwa ujumla hutaona matokeo...fanya weight lifting au bodyweights faida ya haya mazoez ukifanya kwa dakika 45 hadi 60 kwa siku tano kwa wiki utaona matokeo ya haraka sababu unapofanya weight unavunja misuli yako kwa kiasi kikubwa mwili wako utakuwa unafanya repair ya misuli kwa msaa 24 yajayo kwa kuchoma mafuta yaliyopo mwili lakin ukifanya cardio kitendo hicho kitadumu kwa saa moja au saa 2 tu..
Kama umeamua kufanya mazoezi magum vyakula vya kuepuka sana ni sukari vya viwandani ila usiache kula virutibisho ila hakikisha ukiingia gym au muda wako wa kupumzika katiya zoez na zoez usizid dakika moja ukifanya nusu dakika itapendeza zaidi pia kwa wiki jipe muda wa recovery

Kama unapenda kukimbia inabidi ufanye high intensity u sprint ukimbie kwa kasi misuli inataka mizigo mzito au kazi ngumu ili ichome mafuta baadae mafuta mwilin hayachomwi wakati unafanya mazoezi bali wakati umepumzika ndio maana kupumzika ni sehem muhimu sana.

Faida ya weghts ni kuwa unachoma mafuta na kushape mwili vile unataka kwa junsia zote na wale mnataka kutoa vitambi msifanye isolation workouts yaan unafanya mazoezi ya tumbo tu unapoteza muda tumbo lina misuli midogo sana fanya mazoezi ya kuhusisha mwili mzima kama squats ukiongeza uzito sababu sehemu kubwa ya misuli yetu ni kwenye mwili wa binadamu ni miguu so never skip leg days ukiichosha miguu itafanya uchimaji mafuta uwe wa speed sababu miguu ni musuli mikubwa sana ambayo mafuta yatakayo tumika ni pamoja na hayo ya tumboni

Nimeshare ka elimu kangu kadogo
 
Kuacha wanga ndo janga sasa!! Lkn hata ukiula mchana halafu usiku ukala matunda unakaa sawa bila hata mazoezi
 
Miye hata kusema sitaki, maana diet imenishinda kila nikijaribu nafeli tuuu ntapata disco mbaya
 
Back
Top Bottom