masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Sina haja ya maneno mengi.
Polisi wanafanya kila kitu kwa maelekezo toka juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilivyo hurumiwa Dhahabu na Gesi yetu !😳🙏Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wa hovyo sana kuliko hata wa 2019 sema kwa kuwa watu wanakula rasilimali za taifa bila huruma huyu mama watamuona anafaa sana ila ukweli hili limama halina chochote cha maana. Na sijui uchaguzi wa mwakani utakuwaje kama huu tu wa serikali za mitaa watu wameuawa sijui kwa madowani,wabunge na rais itakuwaje.
Ccm japo wametutendea dhambi nyingi na kubwa watutendee tu haki ya kumuweka kando huyu bibi yao bora nchi iongozwe na mwanaume huenda atazihurumia walau kidogo rasilimali zetu ili zije zinufaishe na vizazi vijavyo.
Sasa tutafanyaje mkuu kwa wizi huu wa kura.Ka
Zilivyo hurumiwa Dhahabu na Gesi yetu !😳🙏
Mhurumie mkuu.Halafu kuna wapuuzi kama Pascal Mayalla wanadiriki kutoa mabandiko kusifia huu uchaguzi, they are moral rotten
Jeshi la polisi ni washirika wakubwa wa CCM katika wizi wa kura.View attachment 3170130
Sina haja ya maneno mengi.
Polisi wanafanya kila kitu kwa maelekezo toka juu.
View attachment 3170130
Sina haja ya maneno mengi.
Polisi wanafanya kila kitu kwa maelekezo toka juu.
Walamba asali wakiona hii comment yako watakugawana kama wanavyogawanaga hela za misaada zinalotwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo.Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wa hovyo sana kuliko hata wa 2019 sema kwa kuwa watu wanakula rasilimali za taifa bila huruma huyu mama watamuona anafaa sana ila ukweli hili limama halina chochote cha maana. Na sijui uchaguzi wa mwakani utakuwaje kama huu tu wa serikali za mitaa watu wameuawa sijui kwa madowani,wabunge na rais itakuwaje.
Ccm japo wametutendea dhambi nyingi na kubwa watutendee tu haki ya kumuweka kando huyu bibi yao bora nchi iongozwe na mwanaume huenda atazihurumia walau kidogo rasilimali zetu ili zije zinufaishe na vizazi vijavyo.
Du....!Walamba asali wakiona hii comment yako watakugawana kama wanavyogawanaga hela za misaada zinalotwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
Binafsi Mimi Kuna muda huwa simlaumu sana huyu bibi wa kizanzibar, mzizi wa haya yote tunayoyaona umeanzia kwetu sisi wenyewe watanganyika hasa wanaume,
Huyu mbibi wa kizanzibar mwanzoni aliliongoza hili taifa kwa discipline sana na kwa uoga na ndio maana alifanya vizuri mno, lakini baadae akaja kugundua watanganyika hawajali kabisa kuhusu taifa lao Bali wanajali kuhusu matumbo yao na Magufuli alikuwa anawabana,
Kwa hiyo alichoamua ni kuwaruhusu wafanye ufisadi kadri wanavyotaka wakati huo na yeye mwenyewe pia akiwa ni mnufaika wa mfumo huo wa ufisadi huo, ndio maana tunaona anafanya maamuzi ya ajabu ajabu tu huku watanganyika waliopo kwenye serikali yake wakimpigia makofi na kumtetea dhidi ya sisi tunaohoji, na Wala hajali
Hata kama ningekuwa ni Mimi kwa aina hii ya watu waliopo kwenye jamuhuri ya Tanganyika ningeuza karibu Kila kitu na kukopa sana nikaenda kujenga kwetu kisha baada ya muda wangu kuisha ninawaacha hapo mlipe madeni,
Tatizo sio Samia, tatizo ni watanganyika
Waste of time!#SITOSHIRIKI ISSUE YOYOTE YA UCHAGUZI,, HADI KUWE NA FAIR COMPETITION
Imagine huyu dogo Abduli mamilioni anayogawa kama njugu anayatoa wapi? Tumeumizwa pakubwa sana na huyu maza.Walamba asali wakiona hii comment yako watakugawana kama wanavyogawanaga hela za misaada zinalotwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo.