SoC03 Sababu zinazopelekea vifo vya mama na mtoto na nini kifanyike kuzuia vifo vya mama na mtoto nchini

SoC03 Sababu zinazopelekea vifo vya mama na mtoto na nini kifanyike kuzuia vifo vya mama na mtoto nchini

Stories of Change - 2023 Competition

mr planer

New Member
Joined
Sep 1, 2022
Posts
1
Reaction score
0
SABABU ZINAZOPELEKEA VIFO VYA MAMA NA MTOTO NCHINI
1 ukosefu wa wataalamu wa afya wa kutosha . 2, ukosefu wa vifaa tiba .3 uzembe wa baadhi ya watumishi wakiwa eneo lao la kazi . 4 , upungufu wa vituo vya afya . 5 baadh ya watumishi kukosa wito katika kazi .6 jamii kukosa elimu kuhusu afya ya mama kujifungulia hospital. 7 miundombinu mibovu ya barabara .8 mama kutokuhudhuria kilinik 9 halmashaur kukosa magari ya wagonjwa.

NINI KIFANYIKE KUZUIA VIFO VYA MAMA NA MTOTO
1 serikali kujenga vituo vya afya vya kutosha koka kata .
2 serikali kuajiri wataalam wa afya wa kutosha .
3 ununuzi wa vifaa tiba na madawa ya kutosha .
4 miundombinu Bora ya barabara
5 kila halmashaur inunue angalau gari moja la wagonjwa
6 mama ahakikishe anahudhuria kilnik zote ujauzito
7 elimu itolewe kwa jamii juu ya umuhim wa kujifungulia hospital .
8 semina za Mara kwa Mara ili kusaidia watumishi wa afya kukumbushia walichojifunza darasan
9 kuachana na upotofu katika jamii kuhus waganga wa jadi. 10 maslahi Bora kwa watumishi ili wafanye kazi kwa weredi na amani ya moyoni mwao
 
Upvote 2
Back
Top Bottom