Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 226
- 496
Salaam,
Kuchepuka kwa Muktadha Wa Andiko Hili ni Kile Kitendo Cha Mmoja kati ya Wanandoa Kushiriki Mahusiano Mengine njee Ya Yale Mahusiano Rasmi Yanayotambulika.
Simaanishi Mahusiano Kabla ya Ndoa,, Huko hakuna Kuchepuka kwa sababu Hapo hakuna Mwenye Haki Halali juu ya Mwenzie. Huo labda tuuite Usaliti.
Naenda moja kwa moja kwenye Sababu Hizo:
1) KUKOSEKANA/KUDHOOFIKA KWA MALEZI SAHIHI YA KIIMANI KWA VIJANA WA KIUME.
Kwa Kuzingatia jambo la Uzinifu kabla ya Ndoa (Fornication) au Baada ya ndoa (adultery) Ni Kitendo Kisichopendeza (Dhambi) kwa Mujibu wa Mafundisho ya Dini.
•Misingi imara Inakosekana Kutokana na Wazazi Kutokuwa na utaratibu wa kuwapa Elimu ya Vitabuni na Kuzungumza mazungumzo ya kiimani na vijana wao.
•Au Huenda Kijana amekulia Familia Ya migogoro kutoka kwa wazazi wake sababu ya Baba Kuchepuka hivyo Baba Hakuwa na Ujasiri wa Kumlea Mwanae katika misingi imara ya Kukataa uzinifu.
•Pia Huenda ni kutokana na Kudhoofika kwa mafundisho ya Kiimani juu ya jambo hilo katika nyumba za ibada kwa sababu ya kuzoeleka jambo hilo na kana kwamba Linaanza KUVUMILIWA NA Viongozi wa Dini.
•Au huenda Ni jambo mtambuka linalohusisha hata Waumini na Viongozi Wenyewe hivyo Lazima Ujasiri ukosekane katika kukemea jambo ambalo wewe ni Mdau pia.
SABABU HII MIMI NAIITA NI SABABU YENYE KUJITEGEMEA HAITOKANI NA SABABU NYENGINE YOYOTE KATIKA ZILE NITAKAZO ZITAJA HUMU.
2) MABADILIKO YA WANAWAKE BAADA YA NDOA NA TABIA ZISIZOTARAJIWA.
Bila shaka ni Kawaida kwa Wanawake Kuonesha Utiifu,, heshima,,Huduma na Mapenzi kwa Mwanaume kabla ya Ndoa au Mwanzoni kabisa mwa Ndoa.
Lakini hali taratibu hubadilika kutokana na Mazoea au kushindwa Kuendelea kuficha Tabia Zake halisi.
•Tabia kama Gubu, Kukosa Heshima,Kisirani, Kufoka na kusema Sana kila wakati Ni Tabia zisizopendeza kwa wanaume ambazo wengi katika wanawake wa ndoa Huona kama ndio Namna nzuri ya Kuishi na Waume zao Katika kutatua matatizo na changamoto ndani ya ndoa.
•Jambo kubwa katika hiki kipengele huwa ni HUDUMA ,, huduma za Kimahitaji muhimu kama kuandaa chakula, kufua nk Pia Huduma Ya Tendo la Ndoa ambalo ndio Mzizi wa Furaha ya Ndoa.
Na ndio Wengi wanahangaika kwa wataalamu wa Tiba asili au hospitali kwa ajili ya kuwaweka Fit kwa ajili ya kitendo hiko.
•Mwanaume Anaenyimwa Huduma Hii au kupewa kwa masharti na kwa Ratiba maalumu au kupunguziwa Shamrashamra kama kama ilivyokuwa mwanzoni mwa ndoa,,ni rahisi kwake yeye kumjia Wazo la kutafuta mbadala.
•Mitazamano ya usawa (Feminism) Katika ndoa nayo Inachochea jambo hili.
Kwani inafika hatua Mwanamke haoni uwajibu wa Kumtii wala kumuhudumia mumewe Bali Yeye yupo Busy na Mambo yake kama biashara au ofisi.
HII NI SABABU KUU LAKINI INATEGEMA NA NAMNA MWANAUME HUYO ALIVYOLELEKA KIIMANI.
3)VISHAWISHI VYA WANAWAKE WA NJEE KATIKA MIZUNGUKO YA KIMAISHA.
•Bila Shaka Mwanaume ameumbwa dhaifu katika kutamani Maumbile ya Mwanamke.
•Katika maeneo ya kazi aidha ofisini au sehemu nyengine Hutokea mwanaume akashawishika au akashawishiwa kwa Maksudi na Mwanamke na kujikuta Amefanya uzinifu au ameanzisha mahusiano mengine.
•Na kutokana na Hali inayoendelea ya kuporomoka kwa maadili hali inazidi kuwa mbaya.
•Ushawishi katika mavazi,, tabia,, ukaribu usio na mipaka kwa kisingizio cha kazi kinachochea sana jambo hili.
•Cha kuzingatia ni kwamba Mwanaume hatoacha kumtamani Mwanamke kama mwanamke hatoacha kumtamanisha mwanaume.
MWANAUME ANAWEZA KUVISHINDA HIVI VISHAWISHI KWA ASILIMIA FURANI KUTOKANA NA NAMNA HUKO NYUMBANI KULIVYO YAANI NDOA YAKE HUKO NYUMBANI IPOJE!.
4) UTOFAUTI WA UWEZO WA KIMWILI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE KATIKA TENDO LA NDOA.
•Wengi katika Wanawake (Fresh ladies sio makahaba au Sex workers) Hawawezi Kuhimili Tendo la ndoa Kila Siku kama Vile ambavyo Mwanaume rijali asiye na matatizo ya kiafya katika hali ya kawaida yeye kwake Tendo la ndoa ni Starehe anayoitaka na kuimudu hata ikiwa ni kwa kila siku.
Na hii ni kutokana na Utofauti wa kimaumbile (physiology) kwani sperm production is a daily process but ovum(egg) maturation takes approximately a month and it's only during ovulation (14th day) Mwanamke anakuwa na hamu zaidi na mwanaume(hot period).
Hata kama mke anatoa Huduma vizuri ila suala la tendo kila Siku hilo litamshinda au itakuwa ni kero kwake.
Katika hali hii Mwanaume anatakiwa ahimili Mihemko yake au aamue kutafuta wa kumsaidia mkewe ili mambo yasiharibike.
Pia Katika hali hii Zile Dini zilizoruhusu Mke zaidi ya Mmoja kwa wenye uwezo Zina Hoja na Msingi mzuri.
Nawasilisha.

Wanaume wanaoishi na wanawake wa namna hii wengi wao huamua tuu ili Ndoa isife labda kwa maslahi ya watoto au Kuogopa kugawana mali,, Huamua kujitafutia Mwanamke anayemuhudia na Kumuheshimu na kumtii hata kama ni kwa Gharama.