Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣 Maswali mengne sio yakuulizana. Tena bora umewai kurudi ukajua chanzo maana ata usingewai kurudi home bado ungesifiwa na angenunu tu kwa kusifiwa.Jana kulikuwa na balaaa nyumbani,nimewahi kurudi home tupo tunapiga tu story ,sasa katikati ya story Wife Wakawa kama wanataniana na dada wa kazi mimi hayo mengine sikusikia,nilianza kusikia hapa
Wife:Neema Kwani wewe unataka mwanaume wako aweje
Neema:Yaani mimi napenda kama hivyo Baba Ethan(mimi),yaani hiyo hivyo Alivyo
Wife alinyanyuka ,nimeshangaa ameninunia mimi.
Bora nisingewahi kurudi siku ya jana
[emoji23][emoji23][emoji23]huu Sasa ni utumwa why umkague mtu mzima mwenzakoKuna wanawake bora uwahi kuchelewa ukute amelala...
Ukiwahi ukamkuta ataanza kukunusa akwmbie uvue boksa anuse.
Akiona haitoshi akamue dushe aone km vishahawa vimebaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana kulikuwa na balaaa nyumbani,nimewahi kurudi home tupo tunapiga tu story ,sasa katikati ya story Wife Wakawa kama wanataniana na dada wa kazi mimi hayo mengine sikusikia,nilianza kusikia hapa
Wife:Neema Kwani wewe unataka mwanaume wako aweje
Neema:Yaani mimi napenda kama hivyo Baba Ethan(mimi),yaani hiyo hivyo Alivyo
Wife alinyanyuka ,nimeshangaa ameninunia mimi.
Bora nisingewahi kurudi siku ya jana
Nimeshangaa sana boss [emoji23]Baadhi ya Sababu ulizotoa hazina mashiko.
Mwanaume unaanzaje kupewa zamu ya kulea mtoto.
Uliona wapi wewe......View attachment 2002032
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kimeshaumana. Na wanavyopenda kwenda kwenye hitimisho kwa kutumia hisia bila reasoning utajua hujui.Jana kulikuwa na balaaa nyumbani,nimewahi kurudi home tupo tunapiga tu story ,sasa katikati ya story Wife Wakawa kama wanataniana na dada wa kazi mimi hayo mengine sikusikia,nilianza kusikia hapa
Wife:Neema Kwani wewe unataka mwanaume wako aweje
Neema:Yaani mimi napenda kama hivyo Baba Ethan(mimi),yaani hiyo hivyo Alivyo
Wife alinyanyuka ,nimeshangaa ameninunia mimi.
Bora nisingewahi kurudi siku ya jana
Serious yaanKuna time ni bora wasirudi kabisaa
Si mpaka wasikie!! Akili zilishakwisha au maybe hawakuzaliwa nazo kabisa.Umenena yote.............
Mwenye masikio na asikie!!!!
[emoji28][emoji28]dahKuna wanawake bora uwahi kuchelewa ukute amelala...
Ukiwahi ukamkuta ataanza kukunusa akwmbie uvue boksa anuse.
Akiona haitoshi akamue dushe aone km vishahawa vimebaki
Maisha hayana formula unavyo andika aya ukumbuke kuna wanawake ni pasua kichwa bora tu kuchelewaTafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.
Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,
Kukabiliana na changamoto na purukushani hizo ni uthibitisho kuwa unatosha kuwa kwenye nafasi hiyo na ni alama ya ushupavu kwa wote waliochini ya utawala wako.
Kuchelewa kurudi nyumbani kwa sababu yoyote iliyo nje ya majukumu ya kutafuta ridhiki ni alama kuwa huwezi kuyabeba majukumu na kutatua changamoto zilizo ndani ya familia yako huku wewe ukiwa kama kichwa cha familia.
Hali hiyo inapunguza heshima na hadhi yako kama baba wa familia pia inapunguza upendo na mshikamano ndani ya familia.
Hali hiyo inapelekea automatically watoto kumthamini mama kwa kuwa wanamuona kila siku ndiye anayepambana na harakati na changamoto za kifamilia huku baba akiwa anarudi ananyata usiku kwa uoga.
Think big, take control of your destiny.
Umeandika mengi sijasoma yote ila najua umeandika pumba ..... Kuwa karibu na kuambatana na mkeo kila sehemu usizani ndio uongozi Bora au ndio ukichwa......au kushinda unapigizana kelele na mkeo huo ndio uanaume acha upuuzi .....Kuna ndoa bila kupeana space zingekua zimevunjika kitambo broTafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.
Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,
Kukabiliana na changamoto na purukushani hizo ni uthibitisho kuwa unatosha kuwa kwenye nafasi hiyo na ni alama ya ushupavu kwa wote waliochini ya utawala wako.
Kuchelewa kurudi nyumbani kwa sababu yoyote iliyo nje ya majukumu ya kutafuta ridhiki ni alama kuwa huwezi kuyabeba majukumu na kutatua changamoto zilizo ndani ya familia yako huku wewe ukiwa kama kichwa cha familia.
Hali hiyo inapunguza heshima na hadhi yako kama baba wa familia pia inapunguza upendo na mshikamano ndani ya familia.
Hali hiyo inapelekea automatically watoto kumthamini mama kwa kuwa wanamuona kila siku ndiye anayepambana na harakati na changamoto za kifamilia huku baba akiwa anarudi ananyata usiku kwa uoga.
Think big, take control of your destiny.
Mkuu hapa umeupiga mwingi sanaTafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.
Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,
Baba unapatikana kanda gani ya nchi hii?kama watu wote wangekuwa na akili kama zako basi kesi za kila siku humu zisingekuwepo,Tafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.