Sababu zipi zilikupelekea ukawa shabiki wa hiyo timu yako ya sasa pale Uingereza?

[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
The kopps hapa...FA final na west ham Gerrard anachomoa goli tunaenda matuta
 
1999 timu ya mtaani kwetu waliamua kuiita MANCHESTER UNITED
tukapeana majina

Mdogo wangu akaitwa TEDDY SHERINGHAM
mm kwakuwa nilikuwa GOALKEEPER wakaniita. PETER SCHMEICHEL
halafu kulikuwa na PACHA wawili watoto wa NYUMBA ya jirani wakauvaa uhusika wa ANDY COLE na mwingine tukamuita DWIGHT YORK

Tangu kipindi hicho mpk sasa Ndo nikawa MAN U kamili
Kiuhalisia nilianza kuipenda MAN U tangu mwaka 1996 hivi au 1997 sema kipindi hicho sikuwa interested sana na mpira mpk mwaka 1999
Nilivyoanza kudakia timu yangu ya mtaani ndio nami nikawa MAN U rasmi mpk sasa
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa celestine babayaro mbavu kunesa 1998 kupeleleza sana nikamkuta chelsea
Kuzama chelsea nikakuta wana
Babayaro,
Flo
Wise
Goodjonsen
Parker
Bogade
Lebeouf
Desaily
Ed goey
Zola
Poyet
Le sax
Terry
De mateo
Papescu
Vialli

Hatari sana, nikakaa humo humo hadi leo,
Leo tuna wachezaji et wanaitwa cuculera shenzi kabisa..
 
Ntmn nikupe uzi wa United mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Arsenal sababu anakiwasha na anaongoza ligi EPL na inavyoonekana pale juu hatoshuka na kikombe atachukua, mechi ijayo Arsenal atacheza na West Hama, ataifunga West Ham na atatimiza point 40 huku Man City akicheza na Liverpool atachezea kichapo km alivyochezea kwa Brentford

Arsenal raha sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…