Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sanaNilikuwa fan wa real madrid kwasababu ya akina Zidane (maana mimi huwa naipenda France kwenye world cup tangu 98). Ila nilikuwa naipenda arsenal kwasababu ya Thierry Henry.
Sasa mwaka 2006 ndio nikagundua naipenda zaidi arsenal maana walikutana kwenye ucl na nilikuwa naishabikia arsenal against madrid siku ile na kama kawaida ya Henry, madrid alikufa kwa aggregate ya 1 bila.
Ila sasa cha kushangaza nikaja kuwa fan wa barcelona na kuichukia madrid mpaka leo baada ya wao kumchukua Christiano Ronaldo na Barcelona wakamchukua Henry. Siku hizi barca siwapendi tena baada ya Messi kuondoka.
Ila ni die hard fan wa Arsenal, epl, fa na europa champions 2022/23.
Gilberto da Silva, Edu, Lauren Etame Mayer, Ashley Cole.. Achatu brotherPirres Reyes,sol Campbell
Acha kuzingua mkuu 1999 Cantona alishaacha kucheza Man United, Bora ungesema wale magiza wawili kule mbele Yorke na ColeEnzi ya eric cantona