Sababu zipi zilikupelekea ukawa shabiki wa hiyo timu yako ya sasa pale Uingereza?

Sababu zipi zilikupelekea ukawa shabiki wa hiyo timu yako ya sasa pale Uingereza?

Arsenal sababu anakiwasha na anaongoza ligi EPL na inavyoonekana pale juu hatoshuka na kikombe atachukua, mechi ijayo Arsenal atacheza na West Hama, ataifunga West Ham na atatimiza point 40 huku Man City akicheza na Liverpool atachezea kichapo km alivyochezea kwa Brentford

Arsenal raha sana,
Hush Burton hao watu wa uingereza kaskazini msimu huu wapo on [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Back
Top Bottom