Sabasaba iwe siku ya kazi...

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,858
Reaction score
2,059
CHANGIA HOJA HII...

Je kuna haja ya "SABASABA" kuendelea kuwa SIKU YA MAPUMZIKO KITAIFA?
1-Maundhui yake yamebadilika kutoka kuzaliwa TANU hadi WAKULIMA na sasa sio wakulima tena bali ni BIASHARA.
2-Siku hizi inafanyika sana Daressalaam pekee sio kama zamani ambapo hata mikoani waliadhimisha. Mikoa kama Tanga Morogoro, Dodoma nk wanavyo viwanja vya "sabasaba" ingawa vimebadilishwa matumizi kwavile hakufanyiki maadhimisho.
Je iendelee kuwa "Mapumziko Kitaifa?"
 

Hapo ndio ujue viongozi wa hii nchi hawako makini?vinginevyo watujibu leo tunaadhimisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…