Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956
Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa.
Nairejesha tena hapa jamvini safari hii kwa sababu ipo katika gazeti la Mwangaza la Julai 1956.
Nakuomba msomaji wangu usome maelezo ya picha hii.