AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Sabasaba Watanzania walio wengi wamefanya ni kama tamasha na viwanja vya kula bata na familia zao kila mwaka au sehemu ya kwenda kununuwa bidhaa kwa bei nafuu.Maonesho haya zamani ilikuwa ni promotion za kufa mtu...yaani unaenda una saula unavyotaka...
Ila siku hizi Bei ya sabasaba...bora uende dukani tu.
Kiingilio kilikuwa affordable kwa kila mtu.
Sabasaba ilikuwa mtoko.
Sikuizi kuna hadi madada poa kule nao hawako nyuma kwenye biashara yao.Sabasaba Watanzania walio wengi wamefanya ni kama tamasha na viwanja vya kula bata na familia zao kila mwaka au sehemu ya kwenda kununuwa bidhaa kwa bei nafuu.
Ni tofauti na nchi zingine ambazo maonyesho ya kibishara ni kivutio cha kuwavuta wafanya biashara na watumiaji kuelewa nini kilichopo na nini wanaweza kuuza.
Watanzania lazima twende na wakati tuelewe tofauti ya matamasha na maonesho ya kibishara.
Miaka mingi iliyopita niliwacha kwenda sabasaaba nilipokuta pamejaa wauza pombe na vyakula kuliko wafanya maonesho.
Naelewa sana unachosema. Kifupi maonesho kama sabasaba ni sehemu ya wazalishaji kutafuta masoko mapya na wateja kupata taarifa za bidhaa wanazohitaji.Sabasaba Watanzania walio wengi wamefanya ni kama tamasha na viwanja vya kula bata na familia zao kila mwaka au sehemu ya kwenda kununuwa bidhaa kwa bei nafuu.
Ni tofauti na nchi zingine ambazo maonyesho ya kibishara ni kivutio cha kuwavuta wafanya biashara na watumiaji kuelewa nini kilichopo na niniwate wanaweza kuuza.
Watanzania lazima twende na wakati tuelewe tofauti ya matamasha na maonesho ya kibishara.
Miaka mingi iliyopita niliwacha kwenda sabasaaba nilipokuta pamejaa wauza pombe na vyakula kuliko wafanya maonesho.
Nimesikia mpaka vibaka wapo.Sikuizi kuna hadi madada poa kule nao hawako nyuma kwenye biashara yao.
Elewa kitu wamarekani wanaita Black Friday na siku zingine km hizo maana yake ukienda siku hio ni unauziwa bidhaa kwa bei ya punguzo ikiwa ni kuvutia watu (wateja) kununua bidhaa kwa wingi mfano mdogo tuseme MIMI Jana nilienda kununua Dawa fulani ya mbu X kwenye duka fulani la Mama Y Ile Dawa X bei ya rejareja inauzwa 2500 Ila jumla inauzwa 1500, Mama Y akaniambia hii Dawa rejareja ni 2500 Ila jumla ni 1500 basi nakuuzi kwa bei ya jumla 1500 hii 1000 rudi nayo au nunua bidhaa nyingine, sasa km hivyo ndivyo inatakiwa ifanyike sabasaba kuwe na bei punguzo ukichukua bidhaa 10 kwa pamoja uuziwe kwa bei punguzo, sijui unanielewaSabasaba Watanzania walio wengi wamefanya ni kama tamasha na viwanja vya kula bata na familia zao kila mwaka au sehemu ya kwenda kununuwa bidhaa kwa bei nafuu.
Ni tofauti na nchi zingine ambazo maonyesho ya kibishara ni kivutio cha kuwavuta wafanya biashara na watumiaji kuelewa nini kilichopo na nini wanaweza kuuza.
Watanzania lazima twende na wakati tuelewe tofauti ya matamasha na maonesho ya kibishara.
Miaka mingi iliyopita niliwacha kwenda sabasaaba nilipokuta pamejaa wauza pombe na vyakula kuliko wafanya maonesho.
Nikweli, na sehemu ikishakua na pombe basi ujue ndugu zake na pombe lazima wajumuike yani uzinzi, bangi, ugomvi, wizi n.k inshort haina mvuto tena kama zamani na sio salama kwenda na familiaNimesikia mpaka vibaka wapo.
Bila kuwasahau Dada zangu wakata upwiru madada bia 2 kila 1 @2500 unachukua ushindiNikweli, na sehemu ikishakua na pombe basi ujue ndugu zake na pombe lazima wajumuike yani uzinzi, bangi, ugomvi, wizi n.k inshort haina mvuto tena kama zamani na sio salama kwenda na familia
Hebu nielekeze wanapatikana banda gani nikawape neno la Mungu.Sikuizi kuna hadi madada poa kule nao hawako nyuma kwenye biashara yao.
Hapana. Black Friday na Saba Saba ni vitu viwili tofauti kabisa. Saba Saba kama ulivyoambiwa ni maonyesho ya wazalishaji kuonyesha bidhaa zao kwa wateja na siyo sehemu ya punguzo la kuuza bidhaa kwa rejareja.Elewa kitu wamarekani wanaita Black Friday na siku zingine km hizo maana yake ukienda siku hio ni unauziwa bidhaa kwa bei ya punguzo ikiwa ni kuvutia watu (wateja) kununua bidhaa kwa wingi mfano mdogo tuseme MIMI Jana nilienda kununua Dawa fulani ya mbu X kwenye duka fulani la Mama Y Ile Dawa X bei ya rejareja inauzwa 2500 Ila jumla inauzwa 1500, Mama Y akaniambia hii Dawa rejareja ni 2500 Ila jumla ni 1500 basi nakuuzi kwa bei ya jumla 1500 hii 1000 rudi nayo au nunua bidhaa nyingine, sasa km hivyo ndivyo inatakiwa ifanyike sabasaba kuwe na bei punguzo ukichukua bidhaa 10 kwa pamoja uuziwe kwa bei punguzo, sijui unanielewa
Kama vibaka wapo hadi Bungeni ,Ofisi za Umma ,watakosaje 77?!Nimesikia mpaka vibaka wapo.
Nitajie bend 3 tu zinazotoa burudani 77Wa Kwanza ni serikali yani hakuna jipya zaidi ya bend za mziki
Naelewa Mimi nimetoa Wazo waonyeshe Ila wauze kwa bei punguzo maana pale wanauza pia sio kwamba wanaonyesha tuHapana. Black Friday na Saba Saba ni vitu viwili tofauti kabisa. Saba Saba kama ulivyoambiwa ni maonyesho ya wazalishaji kuonyesha bidhaa zao kwa wateja na siyo sehemu ya punguzo la kuuza bidhaa kwa rejareja.
Lazima wawepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawaKama vibaka wapo hadi Bungeni ,Ofisi za Umma ,watakosaje 77?!
Wewe unataka ukawape Neno la Mungu kwani wao umesikia hawajui kwenye hayo maonyesho ya Neno la Mungu wakati huko pia wanapigaga kambi kula vichwaHebu nielekeze wanapatikana banda gani nikawape neno la Mungu.
siyo sehemu ya manunuziMaonesho haya zamani ilikuwa ni promotion za kufa mtu...yaani unaenda una saula unavyotaka...
Ila siku hizi Bei ya sabasaba...bora uende dukani tu.
Kiingilio kilikuwa affordable kwa kila mtu.
Sabasaba ilikuwa mtoko.