Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Bila D 2 huwezi kuelewa comment yangu. Elewa ulichoelewa na kama unajua walipo toa location, mengine niachie mimi.Wewe unataka ukawape Neno la Mungu kwani wao umesikia hawajui kwenye hayo maonyesho ya Neno la Mungu wakati huko pia wanapigaga kambi kula vichwa