Pale nimefika ila most of mabanda na waoneshaji nadhan wana kosa elimu na uzoefu wa matamasha. Ni wajibu wa tan trade kutoa elimu. Ukifika kwenye mabanda wanakuwah ununue vitu sasa nawashangaa badala mtu akia approach sehem yako uwe making kwanza kujua mdau aliyefika hapa may be anaweza kuwa potential buyer ukaji introduce upo pale unatokea wap,mnafanya nini,kama ni bidhaa mnazalisha kwankiwango gani,mnaweza kusupply vipi badala yake anakutajia bei na anataka ununue,sasa unakuta mim sijaenda kununua nitajaza mamizigo si yatanishinda kubeba sasa,nimefika pale nataka kupata elimu kwa wazalishaji bidhaa,wao wanauza rejareja.ukaichana na mabanda ya serikal ambao wao wanakueleza kaz zao hawa wengine they lack introductory techniques