Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
Ndio wale wa zamani au kuna wengine tena wamefukuzwa?hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
Bwana alisema ukimtegemea hatakufanya mkia bali kichwa. Bwana atawaonyesha njia muda si mrefu
Bwana alisema ukimtegemea hatakufanya mkia bali kichwa. Bwana atawaonyesha njia muda si mrefu
Kama hawakufanya mtihan inaonesha hawataki chuo, ni vizuri warudi nyumbani ili waishike sabato vizuri
TEKU ni chuo kilicho chini ya kanisa la Moravian hapo mbeya!
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.