SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Bila shaka hawa ndo MESHACK,SHADRACK NA ABEDNEGO wa leo,hongereni vijana kwa kuitetea imani ya kweli,watasema mengi lakini nyie mtazamen MUNGU WENU YEYE HATAWAACHA KAMWE

I'm no religious man ila i think religious books say something about acquiring the same education that they ignored "FIRST"! au am i wrong?
 
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.

Vipi kwanini wasingechagua kile chuo chaon...? Wakati wanachagua Teku hawa kujua...? Au ni chokochoko zao.....Nenda pale SAUT Wasabato wanaadabu na mitihani wanafanya mpaka Jumamosi...
 
Mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni Yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa Yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana Haki haipatikani kwa matendo ya Sheria bali kwa Imani'Galatia 2:16' Galatia 2:21, Ibrahimu alihesabiwa haki kwa Imani. Na sabato ilikuwa ni Agano la Mungu na Wana wa Israel tu 'Hesabu 31:16-17'. Ukisoma Galatia yote nadhani hautakaa tena chini ya Sheria/torati.
well said. Ubarikiwe ndg. Na ikiwa bado tu chini ya torati basi CHRISTO aliteswa bure. I stand to
to be corrected
 
Hiki chuo kifungwe tu. Huku ni kuvunja haki ya watu na wakizinguliwa waende mahakamani.

Waende wakafanye huo ujinga pale SAUT waone moto wake.....Pale hawasubiri ugome ni kwamba hata kabla ya mgomo wanakuwa wamepata fununu, hapo hapo ni hauna chuo..... Wanafunzi huwa wanapewa taadhari mapemaaa.....Wasabato wapo wengi SAUT na mitihani wanafanya mpaka Jumamosi na wana adabu sana.....
Hao Moravian naona wanachekea chekea sana...
 
aliivunja kwa kufanya nini, toa references. na umejifunga inamaana yesu alikua msabato

Alimponya mtu kisha akamwambia 'Jitwike godoro lako uende' haikuwa halali mtu awaye yoyote kujitwika Godoro ama kufanya kazi yoyote siku ya sabato, nikiwa karib na Biblia nitakutajia hiko kifungu . Pia alishuhudia wanafanze wake wakivunja Sabato na hakuwakemea 'Mathayo 12-1-8'. Kingine aliponya Mtu siku ya sabato kitu ambacho washika sheria haikuwa sahihi kwao Soma hapo hapo Mathayo 12'
 
Kutofanya mitihni kuna taratibu zake. Je,walizifata? Au waliibuka tu baada ya mitihani na kuanza kulalamika.
 
Bila shaka hawa ndo MESHACK,SHADRACK NA ABEDNEGO wa leo,hongereni vijana kwa kuitetea imani ya kweli,watasema mengi lakini nyie mtazamen MUNGU WENU YEYE HATAWAACHA KAMWE

Vipi toa ushauri wako kwa vijana sio unabwabwaja porojo hapa......Kwanini hawakuchagua chuo chao pale Arusha.....Kwanini nyie Mafarisayo mnapenda chokochoko sana...Nani kawalogaaa...
 
well said. Ubarikiwe ndg. Na ikiwa bado tu chini ya torati basi CHRISTO aliteswa bure. I stand to
to be corrected

Mkuu kwani wewe huwafahamu hawa Masalia...? Huwa ni wabishi sana...Na huwa wanajiona wao ndo watakatifu....
 
Kwa miaka kadhaa nimejaribu kupata tofauti kati ya Wasabato, Wai...... na Wayahudi nimeshindwa. Tofauti kidooooogo iliyopo ni kwa Wasabato, mara mbili tatu watamtaja Yesu in positive way, lakini hakuna cha zaidi.
 
wanatafuta nini kwenye hivyo vyuo vya dini nyingine wasome serikalini
hata ivo kuna chuo cha wasabato arusha
waje kusoma huku
kwenye bible kumeandikwa msifunge nira na mataifa
so ukiamua kwenda kwa kaisali mpe vya kwake
 
yani hata ubishe vp ukwel utabaki kua ukweli tu, kwa maana hiyo vyuo binafsi vinatumia power yao kuwakandamiza wanyonge kwa sabab 2 hawana pa kukimbilia. dini ziheshimiwe, na ndo mana jmoc co cku ya kazi.
 
Mbona mnawachukia sana hawa watu? Naweza ona comments zinabeba hasira duh!

Jerry! nchi hii ni ya wtz wote wenye dini tofauti so,ikiwa kila raia akidai kama madai ya hao wasabao basi nafkir zitengwe siku4 za kuabudu,yaani wapagani cku yao,wa7to,j.mosi,waprotestant na waroma j2,na ijumaa muslim, au tuishije jamaaa! there4 ww unadalili yakutokuwa na uadilifu(una upendeleo sana au mdini sana sio tabia nzur hiyo brother)
 
hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!

Wataingia kwenye ufalme wa wajinga, Biblia inasema ya kaizari mpe kaizari wao wamegoma.
Pia Biblia inasema ni nani ambaye ng'ombe wake akidumbukia shimoni siku ya sabato hato mtoa?
wenyewe wamejidai manunda, fukuzia mbali nguruwe hao
 
yani kutoa msaada siku ya sabato si dhambi, kwani ni jambo jema pia umefanya. pili kujitwika godoro si kazi kwani ni mzigo km mizgo mingne, na hakuna sheria inayomzuia m2 kubeba mzigo cku ya sabato. tatu yesu kuponya alitoa msaada na sio kufanya kaz
 
siwezi kujificha imani yangu, huku ni sawa na kumkana yesu kwenye umati km petro alivyomkana yesu. cwez ogopa majungu au matusi kwa kuitetea imani yangu.
 
yani hata ubishe vp ukwel utabaki kua ukweli tu, kwa maana hiyo vyuo binafsi vinatumia power yao kuwakandamiza wanyonge kwa sabab 2 hawana pa kukimbilia. dini ziheshimiwe, na ndo mana jmoc co cku ya kazi.

Huna pakukimbilia wapi wewe....? Arusha si mna chuo...? Au kipo chini ya viwango..?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom