SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
 
Yesu mwenyewe alisema ya Kaisari mpatie Kaisari na ya Mungu mpatie Mungu.
 
Wamekaidi kufanya mitihani? Mitihani ina uhusiano gani na Sabato yao..hawako serious wajiunge na theologia!
 
Kama hawakufanya mtihan inaonesha hawataki chuo, ni vizuri warudi nyumbani ili waishike sabato vizuri
 
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
 
TEKU huwa ni chuo cha wapi? Yani nahis ni kibaya tu jina lenyewe ka la kisafwa safwa Baba V ebu nisaidie

TEKU ni chuo kilicho chini ya kanisa la Moravian hapo mbeya!
 
Last edited by a moderator:
Bwana alisema ukimtegemea hatakufanya mkia bali kichwa. Bwana atawaonyesha njia muda si mrefu

Mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni Yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa Yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana Haki haipatikani kwa matendo ya Sheria bali kwa Imani'Galatia 2:16' Galatia 2:21, Ibrahimu alihesabiwa haki kwa Imani. Na sabato ilikuwa ni Agano la Mungu na Wana wa Israel tu 'Hesabu 31:16-17'. Ukisoma Galatia yote nadhani hautakaa tena chini ya Sheria/torati.
 
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.

Yesu mwenyewe alijiita yeye ndie Bwana wa Sabato. Tena akaivunja Sabato na akasema 'Nahitaji Rehema'.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…