yani hata ubishe vp ukwel utabaki kua ukweli tu, kwa maana hiyo vyuo binafsi vinatumia power yao kuwakandamiza wanyonge kwa sabab 2 hawana pa kukimbilia. dini ziheshimiwe, na ndo mana jmoc co cku ya kazi.
Acha ujinga wewe nani alikuambia jumamosi siyo siku ya kazi? Hivi watu wote wakiamua kupumzika siku ya jumamosi nchi itakalika kweli? Tuseme polisi, majeshi yote, hosptali, sokoni, maduka yote yafungwe, kampuni za simu zisifanye kazi hali itakuwaje? Hivi nyie wasabato mna matatizo gani? Au ndiyo maana wenzenu walitaka kuozea pale JKNIA wakidai kutaka kusafiri bila pasi wala visa!!?