SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
yani hata ubishe vp ukwel utabaki kua ukweli tu, kwa maana hiyo vyuo binafsi vinatumia power yao kuwakandamiza wanyonge kwa sabab 2 hawana pa kukimbilia. dini ziheshimiwe, na ndo mana jmoc co cku ya kazi.

Acha ujinga wewe nani alikuambia jumamosi siyo siku ya kazi? Hivi watu wote wakiamua kupumzika siku ya jumamosi nchi itakalika kweli? Tuseme polisi, majeshi yote, hosptali, sokoni, maduka yote yafungwe, kampuni za simu zisifanye kazi hali itakuwaje? Hivi nyie wasabato mna matatizo gani? Au ndiyo maana wenzenu walitaka kuozea pale JKNIA wakidai kutaka kusafiri bila pasi wala visa!!?
 
kuna koz nyngne hazpo chuo cha arusha, na hii ndo inalazimu wasabato kwenda vyuo mbalimbali, ila hata km 2nasoma vyuo vyenu msi2mie nafasi hyo kukandamiza imani za wenzenu. ukwel upo palepale

Ukiwa na msimamo mkali, kufikiri lazima kutadumaa. Lianzisheni kila sadaka zitakazo kusanywa zijenge vyuo vipya na kozi zote mkuu.
 

Umeandika vema! Unaweza pia kuniandiki majibu ya Yesu alijibu nini walipomkabiri na hoja Kama hiyo? Napita kidogo Ntarudi saa 4
 

ha ha ha yaani ile Video ilibidi nii_download. Wamemdhihaki sana R/Mtakatifu!!
 
naona minority wakishambuliwa mods hawana tatizo, ungeguswa uislamu na ukatoliki zisingefika post kumi thread imefungwa au kufutwa kabisa.

sioni sababu kwa nini wasipewe mitihani jumapili ? kwa nini jumapili inalindwa hivi?
Jumapili ni siku ya Mungu Jua Miungu ile iliyokatazwa na Mungu alie hai Mungu wa Ibrahimu.... Fanya utafiti utalijua hili hadi kubadilishwa siku ya Kusali na kupumzika from Jumamosi hadi Jumapili... ni Njia kuu ya Shetani kupotosha watu wengi kwani imeandikwa watakoenda Mbinguni ni Wachache Shetani at work.... na kama huna imani lazima akuchukue tu Kwani Mbinguni ni patakatifu hawaiingii watu wachafu.... Isomeni vizuri Biblia hakika Mungu atawapa uwezo wa kuielewa na si kuipotosha.....

Shetani anawapa watu Nguvu za kuichukia Sabato na kuwafanya watu waione ngumu wakati si kweli Sabato ni nzuri sana. Tenda mambo yako yote siku sita ila Sabato ni Siku ya Bwana Mungu wako... uikumbuke na kuitakasa....

Mods wenyewe ni watu wa Jumapili hii kitu hawawezi kuifunga.... Wanawaogopa Waislamu tu kwani Wasabato si walipizaji...
 
Alitenda yapi? Hayo aliyoyatenda ndo nataka kufahamu ?!

We huenda ni msabato kwa mapokeo ya wazazi wako na hutaki kuchimba kuujua ukweli. Mstari uliyopewa kuna uliyotangulia, huo ufuate utakupa picha ya uliyowekewa.
 
Umeandika vema! Unaweza pia kuniandiki majibu ya Yesu alijibu nini walipomkabiri na hoja Kama hiyo? Napita kidogo Ntarudi saa 4

Tatizo lililopo hapa ni Moja kaka, kama ukiendelea kuwa na Moyo mgumu na kutokuubali ukweli basi maongez yetu ni bure. Pia tutaleta Mabishano kitu ambacho Biblia imekataza. Mkuu si nimekuwekea hapo majibu ambayo Yesu aliwajibu Wayahudi??? Embu rudia tena kusoma.
 
Nonsense!! Wangejifanya kama Paulo aliyejifanya myahud ili awapate wayudi! Akajifanya yuko chini ya sheria ili awapate walio chini ya sheria! Na wao wangejifanya si wasabato kwa mda ili lengo lao la kupata digree litimie!

Kumbe twapaswa kujifanya wazinzi na wauaji ili tuwapate wazinzi na wauaji!Tofautisha uinjilisti na maisha ya kawaida.Huwezi kumuasi Mungu kisa eti unataka uwalete kondoo kwa BWANA.Kwa hiyo unamaanisha kwa kufanya mtihani jmosi ndo wangewaongoa wengine?
 
yani we unashangaza, uhuru wa dini upo nchni na ndo mana wenzetu wa jpl wanauhuru kuabudu watakavyo, na hata wasabato pia wana uhuru wa kuabudu kulingana na imani yao, kwa wasabato wote kufanya biashara siku ya sabato ni dhambi. usinitukane tafadhali
 
SABATO ILIFUTWA YESU ALIPOKUFA NDO SABABU LEO HAKUNA MTU ANAYESHIKA SABATO.KAMA YUPO NI MNAFIKI.soma kutoka 16:29 Mtu yeyote asitoke mahal pake siku ya sabato..kutoka 35:3 msiwashe moto siku ya sabato.leo wasabato wanabeba viti na kwenda navyo km 3 kanisan.wanapika.unafiki huo wa mafarisayo.matendo 16:10,11
 

imani si jambo dogo rafk usifkr juu tu
 
huo utakua ni udini na ni sheria ipi inamzuia mtu kuabudu. hata hao wa din nyngne wanaosoma chuo cha wasabato nan anawalazimisha kufanya mitihan jpili, wote hueshimiwa kulingana na imani zao.na MUNGU akusamehe kwa kauli za dharau na kejeli unazotoa
 

yeye asemaye nimemjua nawala hazishik amri zake ni muongo wala kweli haimo ndani yake
 
We huenda ni msabato kwa mapokeo ya wazazi wako na hutaki kuchimba kuujua ukweli. Mstari uliyopewa kuna uliyotangulia, huo ufuate utakupa picha ya uliyowekewa.

Ok hiyo kazi ambayo Yesu aliifanya na baba yake anayoifanya ndo nataka kuifahamu! Kama ni uponyaji na kufanya yaliyomema siku ya sabato haina shida! Wewe uliechimba ukweli ukweli nipatie elimu!
 
Ok hiyo kazi ambayo Yesu aliifanya na baba yake anayoifanya ndo nataka kuifahamu! Kama ni uponyaji na kufanya yaliyomema siku ya sabato haina shida! Wewe uliechimba ukweli ukweli nipatie elimu!

Kwahiyo umekubali kwamba Yesu alivunja Sabato???
 

Taratibu Mkuu wala usione shida! Ntakua home soon tutaendelea
 
Someni wakolosai 2:16,17 msihukumiane na mambo ya sabato si kitu.hosea 2:11
 

Kumbe hata Yesu ni mnafiki kwani kila sabato alijihudhurisha kwenye sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake.Soma vizuri biblia ili ujue kutofautisha sheria.Kuna mahali kwenye biblia panasema kwamba siku ya sabato mtu alipaswa kurusha jiwe litakapotua ndo boundary ya mtu kimatembezi lakini kipindi cha Yesu na mitume hii kitu haikuwepo,unajua ni kwa nini?Tofautisha sheria za musa na sheria za Mungu.SIKUJA KUTANGUA TORATI WALA MANABII BALI KUITIMILIZA.(Yesu aliulizwa swali hili ukisoma ktk agano jipya,nifanye nini nipate kuokoka?Yesu akajibu kwa kumuuliza kijana yule,wazijua amri?)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…