Ndo maana ata wanaopinga wanaongea tu bila kujua nini sabato!
Coments za kuponda hawa jamaa waliofukuzwa hazileti sense kwasababu hiki ni kitu cha kiimani, na hawakufanya mitihan kwa kua imani yao haiwaruhusu, someni maana ya sabato kwanza kabla ya kuanza kuponda, it may seem stupid kwenu kwa kitendo chao lakin kina great impact spiritualy, Mambo ya imani hua yanaonekana ya ajabu in naked eyes, kwa mfano wakati wa Nuhu alijenga safina wakati mvua ilikua haijawahi kunyesha hata siku moja, watu walimuona Nuhu chizi lakini siku mvua iliponyesha ndo walipomkumbuka, Watume waliuliwa kwa ajili ya kutetea walichokiamini.Dont judge imani ya mtu, Believe whatever you want to believe but don't insult imani ya mtu
Kama wewe ni mtu mwenye akili Jibu swali uliloulizwa na hilo neno masalia ni jina la kikundi fulani.... wewe ni Dhehebu gani nikuelewe unachokiamini hadi kikufanye uchekecheke ovyo...Ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!! Masalia jamani mna mambo....Pole pole mtelewa maana nasikia pia Wasabato walikuwa hawaogi Ijumaa jioni hadi kesho yake na ilikuwa huwaambii kitu katika hilo...Thanx Roho Mtakatifu alifanya kazi yake na hiyo sheria ilifutwa kabisa....
Soon hata hii itafutwa tuu..Pole pole ndio mwendo.....Masalia, pole pole ndio mwendo....
Mkuu Biblia inasema kuwa Yesu alivunja Sabato, wewe unakataa. Huwezi ukapingana na Biblia. Mkuu hata Wanafunzi wa Yesu walivunja Sabato na yeye Yesu alikuwako hapohapo. Biblia haijaficha chochote, tatizo Binadamu tunaifanya mioyo yetu kuwa migumu sana.
Hivi Wasabato ni Wakristu?Anyway hata mimi wakati niko Mlimani miaka ile kuna wasabato waligomea mtihani jumamosi na waka-disco,walilalamika na kushauriwa kuwasilisha malalamiko yao kwenye senate,siku senate imekaa kupitia appeal yao proffesor mmoja akaomba tarehe ya barua ya malalamiko iangaliwe,ikakutwa barua hiyo iliandikwa siku ya Jumamosi,kumbe walivyotoka ibada siku hiyo ndi walikaa na kuandika appeal yao.Rufaa ikatupliwa mbali kwamba huyo ni Mungu gani anayezuia kufanya mitihani Jumamosi lakini akawaruhusu kuandika barua Jumamosi!
Mkuu nimeshasema kuwa watu hawaielewi Biblia na hata wakisoma hawaielewi. Paul ktk Timotheo wa Kwanza amesema kutakuwa na walimu wa waongo wafundishao neno kwa matakwa yao. Hawa ni moja ya wanafunzi wa hao walimu.
Tusiwe tunakimbilia mbali wakati karibu panatushinda. Nini maana ya SABATO?
Walichokosea ni kuenda kusoma kwenye taasisi za shetani.... Sunday keepers wote ni watu walichini ya Mfumo wa Mungu jua...na mfumo huu unalindwa kwa nguvu za Shetani
Kwa taarifa yako mwanafunzi yeyote aliosoma katika shule ya kisabato wanaongoza kwa maadili mazuri ata maofisini na wazazi wa wanafunzi wanaelewa hilo! Someni nyie katika hizo shule zinazoiba mitihani na zinazozarisha watumishi na viongozi mafisadi!
Unasoma Biblia kwa kubeep Nina hakika wewe ukisoma Biblia yote utajutia kwanini hukuisoma mapema katika maisha yako.... wewe endelea kusoma katesimu sijui kitu gani kile mkimaliza mnaenda kugonga bia na nguluwe mnyama asiyejichwa na najisi
muombe sana roho mtakatifu akufafanulie hiyo mistar uliyo isoma mpendwa.usilazimishe tafsiri ya akili yako
Hata Warumi 14:13...........Nakuendelea inaeleza vizuri tuu....Sema hawa watu ni vichwa ngumu....
Inamaana mabishano yako yote na kadhia na dhihaka unazotoa hujui nini maana ya Sabato? basi hata Mungu anayeabudiwa pia Humjui na wala alichoagiza kwa wanadamu pia hufahamu zaidi wewe ni mfuata mkumbo... sijategemea kama unaweza bishana na watu kwa kitu ambacho hukifahamu.... lol Shetani kakushika au wewe ndie Shetani kabisa...
Sabato ni Siku ya Saba ya Bwana Mungu Wako ambayo aliitakasa na kuibariki na alisema msifanye kazi na muikumbuke
Coments za kuponda hawa jamaa waliofukuzwa hazileti sense kwasababu hiki ni kitu cha kiimani, na hawakufanya mitihan kwa kua imani yao haiwaruhusu, someni maana ya sabato kwanza kabla ya kuanza kuponda, it may seem stupid kwenu kwa kitendo chao lakin kina great impact spiritualy, Mambo ya imani hua yanaonekana ya ajabu in naked eyes, kwa mfano wakati wa Nuhu alijenga safina wakati mvua ilikua haijawahi kunyesha hata siku moja, watu walimuona Nuhu chizi lakini siku mvua iliponyesha
umenena vema
Kama wewe ni mtu mwenye akili Jibu swali uliloulizwa na hilo neno masalia ni jina la kikundi fulani.... wewe ni Dhehebu gani nikuelewe unachokiamini hadi kikufanye uchekecheke ovyo...
TEKU huwa ni chuo cha wapi? Yani nahis ni kibaya tu jina lenyewe ka la kisafwa safwa Baba V ebu nisaidie
Sawa nimekuelewa ila swali linarudi palepale, kutenda mema siku ya Sabato imejulikana tangu pale Torati ilipokuja ama baada ya Yesu kuja?
Ha ha ha ha.....Masalia wacheni kunivunja mbavu zangu bana......Kwi kwi kwi Masalia today you have made my day...