SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Coments za kuponda hawa jamaa waliofukuzwa hazileti sense kwasababu hiki ni kitu cha kiimani, na hawakufanya mitihan kwa kua imani yao haiwaruhusu, someni maana ya sabato kwanza kabla ya kuanza kuponda, it may seem stupid kwenu kwa kitendo chao lakin kina great impact spiritualy, Mambo ya imani hua yanaonekana ya ajabu in naked eyes, kwa mfano wakati wa Nuhu alijenga safina wakati mvua ilikua haijawahi kunyesha hata siku moja, watu walimuona Nuhu chizi lakini siku mvua iliponyesha ndo walipomkumbuka, Watume waliuliwa kwa ajili ya kutetea walichokiamini.Dont judge imani ya mtu, Believe whatever you want to believe but don't insult imani ya mtu

Tunawaelimisha tuu wala hamna shida....Sema mwanafunzi huyu kichwa yake ni ngumu kwahiyo inabidi kutumia kiboko kidogo...
 
Ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!! Masalia jamani mna mambo....Pole pole mtelewa maana nasikia pia Wasabato walikuwa hawaogi Ijumaa jioni hadi kesho yake na ilikuwa huwaambii kitu katika hilo...Thanx Roho Mtakatifu alifanya kazi yake na hiyo sheria ilifutwa kabisa....

Soon hata hii itafutwa tuu..Pole pole ndio mwendo.....Masalia, pole pole ndio mwendo....
Kama wewe ni mtu mwenye akili Jibu swali uliloulizwa na hilo neno masalia ni jina la kikundi fulani.... wewe ni Dhehebu gani nikuelewe unachokiamini hadi kikufanye uchekecheke ovyo...
 
Mkuu Biblia inasema kuwa Yesu alivunja Sabato, wewe unakataa. Huwezi ukapingana na Biblia. Mkuu hata Wanafunzi wa Yesu walivunja Sabato na yeye Yesu alikuwako hapohapo. Biblia haijaficha chochote, tatizo Binadamu tunaifanya mioyo yetu kuwa migumu sana.

muombe sana roho mtakatifu akufafanulie hiyo mistar uliyo isoma mpendwa.usilazimishe tafsiri ya akili yako
 
Hivi Wasabato ni Wakristu?Anyway hata mimi wakati niko Mlimani miaka ile kuna wasabato waligomea mtihani jumamosi na waka-disco,walilalamika na kushauriwa kuwasilisha malalamiko yao kwenye senate,siku senate imekaa kupitia appeal yao proffesor mmoja akaomba tarehe ya barua ya malalamiko iangaliwe,ikakutwa barua hiyo iliandikwa siku ya Jumamosi,kumbe walivyotoka ibada siku hiyo ndi walikaa na kuandika appeal yao.Rufaa ikatupliwa mbali kwamba huyo ni Mungu gani anayezuia kufanya mitihani Jumamosi lakini akawaruhusu kuandika barua Jumamosi!


Nimeipenda hiyo!!
 
Mkuu nimeshasema kuwa watu hawaielewi Biblia na hata wakisoma hawaielewi. Paul ktk Timotheo wa Kwanza amesema kutakuwa na walimu wa waongo wafundishao neno kwa matakwa yao. Hawa ni moja ya wanafunzi wa hao walimu.

Hebu taja huo uongo wetu kwa kutumia vifungu vya biblia isijekuwa unaongea kisiasa tu bila facts na ushahidi.Enhe,ebu tiririka....
 
Tusiwe tunakimbilia mbali wakati karibu panatushinda. Nini maana ya SABATO?

Inamaana mabishano yako yote na kadhia na dhihaka unazotoa hujui nini maana ya Sabato? basi hata Mungu anayeabudiwa pia Humjui na wala alichoagiza kwa wanadamu pia hufahamu zaidi wewe ni mfuata mkumbo... sijategemea kama unaweza bishana na watu kwa kitu ambacho hukifahamu.... lol Shetani kakushika au wewe ndie Shetani kabisa...

Sabato ni Siku ya Saba ya Bwana Mungu Wako ambayo aliitakasa na kuibariki na alisema msifanye kazi na muikumbuke
 
Walichokosea ni kuenda kusoma kwenye taasisi za shetani.... Sunday keepers wote ni watu walichini ya Mfumo wa Mungu jua...na mfumo huu unalindwa kwa nguvu za Shetani

Vipi wale Masalia wa SAUT ambao wanafuata sheria za chuo na mitihani wanafanya hata Jumamosi ni wapumbavu ehh!!!! Hakika wale ndo Wasabato safii wanaojua wanacho fanya..... Moravian waliwachekea sana.....SAUT pale adabu moja na chuo kinagombaniwa sana na Wasabato...

Halafu mkuu kile chuo chenu cha Arusha hakina viwango nn...? Mbona hukizungumzii
 
Kwa taarifa yako mwanafunzi yeyote aliosoma katika shule ya kisabato wanaongoza kwa maadili mazuri ata maofisini na wazazi wa wanafunzi wanaelewa hilo! Someni nyie katika hizo shule zinazoiba mitihani na zinazozarisha watumishi na viongozi mafisadi!

Unaonyesha jinsi gani ulivyo msabato muongo!!
 
Unasoma Biblia kwa kubeep Nina hakika wewe ukisoma Biblia yote utajutia kwanini hukuisoma mapema katika maisha yako.... wewe endelea kusoma katesimu sijui kitu gani kile mkimaliza mnaenda kugonga bia na nguluwe mnyama asiyejichwa na najisi

Ha ha ha ha.....Masalia wacheni kunivunja mbavu zangu bana......Kwi kwi kwi Masalia today you have made my day...
 
muombe sana roho mtakatifu akufafanulie hiyo mistar uliyo isoma mpendwa.usilazimishe tafsiri ya akili yako

Asante sana kwa kunielimisha Mkuu, na ni bora umemtaja R/Mtakatifu ambae ndie Mwalimu wetu. Nina Imani kuwa unafahamu hata Biblia imeandikwa si kwa juhudi wala uweza wa mwanadamu ila ni kwa uweza wake ROHO. Katika Yohane 5:1-18. Je, Yesu alivunja Sabato au hakuvunja???
 
Inamaana mabishano yako yote na kadhia na dhihaka unazotoa hujui nini maana ya Sabato? basi hata Mungu anayeabudiwa pia Humjui na wala alichoagiza kwa wanadamu pia hufahamu zaidi wewe ni mfuata mkumbo... sijategemea kama unaweza bishana na watu kwa kitu ambacho hukifahamu.... lol Shetani kakushika au wewe ndie Shetani kabisa...

Sabato ni Siku ya Saba ya Bwana Mungu Wako ambayo aliitakasa na kuibariki na alisema msifanye kazi na muikumbuke

Asante sana Mkuu kwa kunidhihirisha mimi ndimi Shetani. NINAKUOMBA UMPIGIE SIMU KIONGOZI WAKO UMUULIZE NINI MAANA YA SABATO. Nilijua tu kuwa hufahamu nini maana Sabato na imedhihirika waziwazi, kamwulize Kiongozi wako Mkuu.
 
[QUOTE
=Jerrymsigwa;7299188]TEKU huwa ni chuo cha wapi? Yani nahis ni kibaya tu jina lenyewe ka la kisafwa safwa Baba V ebu nisaidie[/QUOTE]

Jerrymsigwa hivi jina zuri likoje? Kama Oxford? Harvard, MIT, Boston?
 
Last edited by a moderator:
Coments za kuponda hawa jamaa waliofukuzwa hazileti sense kwasababu hiki ni kitu cha kiimani, na hawakufanya mitihan kwa kua imani yao haiwaruhusu, someni maana ya sabato kwanza kabla ya kuanza kuponda, it may seem stupid kwenu kwa kitendo chao lakin kina great impact spiritualy, Mambo ya imani hua yanaonekana ya ajabu in naked eyes, kwa mfano wakati wa Nuhu alijenga safina wakati mvua ilikua haijawahi kunyesha hata siku moja, watu walimuona Nuhu chizi lakini siku mvua iliponyesha

umenena vema
 
Kama wewe ni mtu mwenye akili Jibu swali uliloulizwa na hilo neno masalia ni jina la kikundi fulani.... wewe ni Dhehebu gani nikuelewe unachokiamini hadi kikufanye uchekecheke ovyo...

Mfuasi muaminifu wa Yesu....

Masalia wacheni utani...
 
Sawa nimekuelewa ila swali linarudi palepale, kutenda mema siku ya Sabato imejulikana tangu pale Torati ilipokuja ama baada ya Yesu kuja?

Nashukuru Kama Hilo limeeleweka! Narudia tena Yesu Na wanafunzi wake hawakuvunja sabato na wala hawakufanya kazi Kama kazi Siku ya sabato! Na wanasoma topic hii waelewe hivo! Nikija katika swala lako sasa! Kulikua na sheria za Mungu10. Na sheria za Musa ambazo zilikua Zaidi ya100! Zote kwa pamoja ni torati. Sasa sasa hizi sheria zingine zilikua kandamizi! Kwa mfano mtu akiiba akatwe mkono, au mtu akizini apigwe mawe! Au kutokutembea umbali mkubwa siku ya sabato na nyingine nyingi! Sasa sheria hizi zilikua ni kandamizi na mzigo mkubwa kwa wanadamu! Yesu alipokuja duniani alifanya kuzirahisisha na Si kuzitengua Kama alivosema yeye! Kwahiyo hii Neema ya Yesu huwezi kuitenganisha na sheria!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom