Sasa kwa nini mnalalamikia mitihani ya duniani badala ya kuhubiri injili?Wewe usirukie Gari kwa mbele litakugonga! Huu mziki wa sabato wewe hauwezi kuucheza'! Kwani hufahamu mwinjilisti atakula na kuishi kutokana na injili? Wale wanafunzi wa Yesu walipo ziacha kazi zao na familia zao na kumfata Yesu, Walikua wanakula nini? Na familia zao ziliishi vipi wakati wao ndo Walikua wategemewa? Kwa Mungu kila kitu kinawezekana!
Nashukuru Kama Hilo limeeleweka! Narudia tena Yesu Na wanafunzi wake hawakuvunja sabato na wala hawakufanya kazi Kama kazi Siku ya sabato! Na wanasoma topic hii waelewe hivo! Nikija katika swala lako sasa! Kulikua na sheria za Mungu10. Na sheria za Musa ambazo zilikua Zaidi ya100! Zote kwa pamoja ni torati. Sasa sasa hizi sheria zingine zilikua kandamizi! Kwa mfano mtu akiiba akatwe mkono, au mtu akizini apigwe mawe! Au kutokutembea umbali mkubwa siku ya sabato na nyingine nyingi! Sasa sheria hizi zilikua ni kandamizi na mzigo mkubwa kwa wanadamu! Yesu alipokuja duniani alifanya kuzirahisisha na Si kuzitengua Kama alivosema yeye! Kwahiyo hii Neema ya Yesu huwezi kuitenganisha na sheria!
Tusiwe tunakimbilia mbali wakati karibu panatushinda. Nini maana ya SABATO?
Mungu wanaomtegemea ni Mungu wa kweli naamini atawaongoza
Sasa kwa nini mnalalamikia mitihani ya duniani badala ya kuhubiri injili?
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
Kaka, Paul anasema haki haipatikani kwa Matendo ya Sheria. Na kwa kupitia Sheria hakuna atakayehasabiwa haki. Yohana 1:12 Inasema 'Torati imekuja kwa mkono wa Musa, ila Kweli imekuja kwa njia ya Yesu' hapo tunaona ni vitu viwili vilivyo tofauti. Kupitia kweli mtu anakuwa na Moyo wa Kiasi, Amani, furaha, Unyenyekevu n.k ila kwa Matendo ya Sheria hakuna hayo mambo.
Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo; ukiitunza sabato kwa YESU umeula! Duniani umeliwa!
me nawashangaa nyote mnaokashfu na kudhihaki imani za watu, jarbuni kumwogopa mungu kwa kuheshimu imani za wengne, kwani hata m2kane vp bado imani zetu haztabadilika. zaidi mtakua mnajichumia dhambi tu kwa kumdhihak roho mtakatifu.
Kaka, Paul anasema haki haipatikani kwa Matendo ya Sheria. Na kwa kupitia Sheria hakuna atakayehasabiwa haki. Yohana 1:12 Inasema 'Torati imekuja kwa mkono wa Musa, ila Kweli imekuja kwa njia ya Yesu' hapo tunaona ni vitu viwili vilivyo tofauti. Kupitia kweli mtu anakuwa na Moyo wa Kiasi, Amani, furaha, Unyenyekevu n.k ila kwa Matendo ya Sheria hakuna hayo mambo.
Tutakuja kuzungumzia hayo mafungu ya Paul! Nakubaliana na wewe katika hayo maelezo yako ndo maana nikasema ni Kama Yesu alirahisisha mambo vile! Kama hayo matendo uliyo andika! Lakini unatakiwa ufahamu kua ule msingi wa sheria Yesu hakuacha kuusimamia Kama katika yohana15:14 na 14:15.
Tutakuja kuzungumzia hayo mafungu ya Paul! Nakubaliana na wewe katika hayo maelezo yako ndo maana nikasema ni Kama Yesu alirahisisha mambo vile! Kama hayo matendo uliyo andika! Lakini unatakiwa ufahamu kua ule msingi wa sheria Yesu hakuacha kuusimamia Kama katika yohana15:14 na 14:15.
Kila mara husemwa kuwa
Mungu ndiye alianzisha sabato
katika shamba la Edeni kwa sababu
ya uhusiano kati ya Sabato na
uumbaji katika Kutoka 20:11. ingawa
starehe ya Mungu siku ya Sabato
(Mwanzo 2:3) iliangazia sheria ya
Sabato iliyokua inakuja, hakuna
maelezo yoyote ya Bibilia juu ya
Sabato kwa watoto wa Israeli kabla
watoke Misri. Hakuna maandiko
katika Bibilia au dondoo lolote
linaloonyesha kuwa Adamu na Musa
waliitunza Sabato.
Neno la Mungu laiweka wazi kuwa
kuitunza Sabato ilikua ishara
maalumu kati ya Mungu na Waisraeli:
Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli
watishika sabato, kuiangalia sana
hiyo sabato katika vizazi vyao vyote,
ni agano la milele. Ni ishara kati ya
mimi na wana wa Israeli milele;
kwani kwa siku sita BWANA alifanya
mbingu na nchi, akastarehe kwa siku
ya saba na kupumzika (Kutoka 31:
16-16).
Katika Kumbukumbu La Torati 5,
Musa anazirudia amri kumi kwa kizazi
kingine cha Israeli. Hapa baada ya
kuamrisha jinsi ya kuitunza sabato
katika aya ya 12-14, Musa anatoa
sababu ya sabato ambayo sabato
ilipewa kwa taifa la Israeli: Nawe
utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa
mtumwa katika nchi ya Misri, na
akuwa BWANA, Mungu wako, alikutoa
huko kwa mkono wenye nguvu, na
mkono ulionyoshwa; kwa sababu
hiyo BWANA Mungu wako,
alikuamuru uishike
sabato (Kumbukumbu La Torati
5:15).
Lengo la Mungu kupeana sabato kwa
Waisraeli haikuwa kukumbuka
uumbaji, bali waukumbuke utumwa
wa Wamisri na kule kuokolewa na
Bwana. Kumbuka yanayohitajika kwa
kuitunza sabato: mtu aliyewekwa
chini ya hiyo sheria hangeweza
kutoka kwa boma yake (Kutoka
16:29), hangewakisha moto (Kutoka
35:3), angeruhusu mtu yeyote
kufanya kazi (Kumbukumbu La Torati
5:14). Mtu mwenye angivunja shreria
ya sabato angeuwawa (Kutoka 31:15;
Hesabu 15:32-35).
Uchunganusi wa ukurasa wa Agano
Jipya watuonyesha mambo mane
muimu: 1) Popote Kristo alionekena
baada ya kufufuka kwake na siku
zimetajwa, kila wakati ni siku ya
kwanza ya Juma (Mathayo 28:1,9, 10;
Mariko 16:9; Luka 24:1,13,15; Yohana
20:19, 26). 2) Wakati pekee sabato
imetajwa kutoka kwa kitabu cha
Matendo ya Mitume hadi ufunuo ni
kwa sababu ya lengo la uinjilisti kwa
Wayahudi kwenye Masinagogi
(Matendo Ya Mitume 13-18). Paulo
aliandika, Nilikuwa kama Myahudi
kwa Wayahudi, ili niwapate
Wayahudi (1 Wakorintho 9:20).
Paulo hakuenda kaitka Masinagogi
kuwa na ushirika na kuwajenga
waumini, bali alienda ili
awathibitishie injili na kuwaokoa
walikuwa wamepotea. 3) Mara moja
Paulo anasema, tangu sasa
nitakwenda kwa watu wa
Mataifa (Matendo Ya Mitume 18:6),
sabato tena haitajwi kamwe. Na 4)
Badala ya kupendekeza kuwa
waitunze siku ya sabato, sehemu
nyingine ya Agano Jipya iliyobaki
yasema kinyume ( ikijumulisha
sehemu ya tatu ilioachwa nche hapo
juu, inapatika katika Wakolosai 2:16).
Kwa kuingalia hoja ya nne kwa
makini, tutafumbua kwamba, hakuna
jukumu lolote la kuitunza sabato
kwa waumini wa Agano Jipya. Pia
tutaonyesha kuwa dhana ya Jumapili
Sabato ya Wakristo si ya kibibilia.
Vile imejadiliwa hapo juu, hakuna
wakati sabato imetajwa baada ya
Paulo kuanza kuangazia Mataifa,
Haya Turudi kwa Paul! Hayo mafungu anayozungumzia sheria yanapatikana katika kitabu gani?
Taratibu naona unaanza kulainika...Thanks to the Holy Ghost maana anaanza kutenda kazi yake..
Ndugu,kwa hiyo ktk zile amri 10,hiyo 1 ya sabato ni useless kwa sasa?kama jibu ni ndio naomba unipe fungu linaloonesha kufutwa ka amri hiyo.Tuelimishane.
Mkuu, Soma mpaka mwisho kisha niambie hujaelewa wapi.