Bila shaka hawa ndo MESHACK,SHADRACK NA ABEDNEGO wa leo,hongereni vijana kwa kuitetea imani ya kweli,watasema mengi lakini nyie mtazamen MUNGU WENU YEYE HATAWAACHA KAMWE
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
well said. Ubarikiwe ndg. Na ikiwa bado tu chini ya torati basi CHRISTO aliteswa bure. I stand toMabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni Yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa Yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana Haki haipatikani kwa matendo ya Sheria bali kwa Imani'Galatia 2:16' Galatia 2:21, Ibrahimu alihesabiwa haki kwa Imani. Na sabato ilikuwa ni Agano la Mungu na Wana wa Israel tu 'Hesabu 31:16-17'. Ukisoma Galatia yote nadhani hautakaa tena chini ya Sheria/torati.
Hiki chuo kifungwe tu. Huku ni kuvunja haki ya watu na wakizinguliwa waende mahakamani.
aliivunja kwa kufanya nini, toa references. na umejifunga inamaana yesu alikua msabato
yani tatizo lipo palepale, kusoma au kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi, ina mana watakua wametendeshwa dhambi kwa lazima na haikua kusudio lao
Bila shaka hawa ndo MESHACK,SHADRACK NA ABEDNEGO wa leo,hongereni vijana kwa kuitetea imani ya kweli,watasema mengi lakini nyie mtazamen MUNGU WENU YEYE HATAWAACHA KAMWE
Hiyo njia ni bora wakaenda kwenye kile chuo chao pale Arusha.....Stupidy...
well said. Ubarikiwe ndg. Na ikiwa bado tu chini ya torati basi CHRISTO aliteswa bure. I stand to
to be corrected
Kwa nini hao wasabato wasiende kusomea uinjilisiti ili wawe wahubiri? Ya Kaisari wamwachie Kaisari! Hivi hao wasabato wakiugua jumamosi hawaendi hospitali? Stupid kabisa!!!!!!!
Mbona mnawachukia sana hawa watu? Naweza ona comments zinabeba hasira duh!
hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
yani hata ubishe vp ukwel utabaki kua ukweli tu, kwa maana hiyo vyuo binafsi vinatumia power yao kuwakandamiza wanyonge kwa sabab 2 hawana pa kukimbilia. dini ziheshimiwe, na ndo mana jmoc co cku ya kazi.