SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
siwezi kujificha imani yangu, huku ni sawa na kumkana yesu kwenye umati km petro alivyomkana yesu. cwez ogopa majungu au matusi kwa kuitetea imani yangu.

Yani wewe ndo masalia halisi....Unapoambiwa ukweli unasema majungu...!!!!!

Naomba nikuulize swali.....Kwani si mna chuo chenu pale Arusha...? Ili kuepusha shari kwanini msiende kule...?
 
Bila shaka hawa ndo MESHACK,SHADRACK NA ABEDNEGO wa leo,hongereni vijana kwa kuitetea imani ya kweli,watasema mengi lakini nyie mtazamen MUNGU WENU YEYE HATAWAACHA KAMWE

Alaaa.
 
haijalishi kuna vyuo na watu wangapi wanaotoa matusi juu ya sabato, hamtutukani sisi bali mwamtukana bwana wa sabato ambae ni yesu.
 
siwezi kujificha imani yangu, huku ni sawa na kumkana yesu kwenye umati km petro alivyomkana yesu. cwez ogopa majungu au matusi kwa kuitetea imani yangu.

Fanya hima ukawatetee na wanafunzi waliofukuzwa.
 
kuna koz nyngne hazpo chuo cha arusha, na hii ndo inalazimu wasabato kwenda vyuo mbalimbali, ila hata km 2nasoma vyuo vyenu msi2mie nafasi hyo kukandamiza imani za wenzenu. ukwel upo palepale
 
Wataingia kwenye ufalme wa wajinga, Biblia inasema ya kaizari mpe kaizari wao wamegoma.
Pia Biblia inasema ni nani ambaye ng'ombe wake akidumbukia shimoni siku ya sabato hato mtoa?
wenyewe wamejidai manunda, fukuzia mbali nguruwe hao

Naona unamtukana Bwana wa sabato(YESU)live bila chenga.Mbona wakristo mnaipinga sana amri ya 4 lkn amri zingine 9 mnazishika halafu mnajibu hoja kwa matusi?
 
najua unanikejeli kwa jusema hvo, ila bado ukweli utakua palepale tu, haijalishi ni wangapi watanikejeli km wewe, ila siwezi hofia kejeli zenu kwa kusema ukweli juu ya sabato
 
yani hata ubishe vp ukwel utabaki kua ukweli tu, kwa maana hiyo vyuo binafsi vinatumia power yao kuwakandamiza wanyonge kwa sabab 2 hawana pa kukimbilia. dini ziheshimiwe, na ndo mana jmoc co cku ya kazi.

We mbona unapenda kulalamika, tatizo Neno halimo ndani yenu.
 
yani kutoa msaada siku ya sabato si dhambi, kwani ni jambo jema pia umefanya. pili kujitwika godoro si kazi kwani ni mzigo km mizgo mingne, na hakuna sheria inayomzuia m2 kubeba mzigo cku ya sabato. tatu yesu kuponya alitoa msaada na sio kufanya kaz

Mkuu samahani sana hivi Umesoma hivyo vifungu au umekuja kutoa Comment moja kwa moja?
 
kwanza cjalalamika, nasema kile nachokiamini, pili kama neno halipo ndani yetu basi tusingeijua sabato, tatu yesu mwenyewe ndie bwana wa sabato, inamana neno halipo ndani yake?
 
brother hujui unchokiongea........ ongea kwa facts na sio kuropoka tu kwa kua una mdomo.
 
mimi najibu kulingana na hoja na maswali yanayotolewa. na hilo suala si geni kwangu.
 
haijalishi kuna vyuo na watu wangapi wanaotoa matusi juu ya sabato, hamtutukani sisi bali mwamtukana bwana wa sabato ambae ni yesu.

Mpaka nakuonea huruma!!!! Hujibu maswali unaishia kulalama....Jibu basi hayo maswali mepesi...
 
maswali gani ambyo yananifanya nalalama? UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI TU, na pia huruma yako haitabadlsha ukweli wa mambo...
 
Yani wewe ndo masalia halisi....Unapoambiwa ukweli unasema majungu...!!!!!

Naomba nikuulize swali.....Kwani si mna chuo chenu pale Arusha...? Ili kuepusha shari kwanini msiende kule...?

acha udini, kwa hiyo kila mtu atafute chuo kinamilikiwa na dini yake, na vyuo vinavyomilikiwa na serikali navyo tuseme vinaendeshwa kwa misingi ya dini gani
 
Kwa nini hao wasabato wasiende kusomea uinjilisiti ili wawe wahubiri? Ya Kaisari wamwachie Kaisari! Hivi hao wasabato wakiugua jumamosi hawaendi hospitali? Stupid kabisa!!!!!!!

Wewe unaonekana ni mfuasi wa no 666 na kwanini hiyo mitihani isifanywe siku za masomo zinzojulikana tangu awali?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…