Fanya hima ukawatetee na wanafunzi waliofukuzwa.
Chamviga tafadhali sana! Huku umepotea! Tupambane kwenye mambo ya siasa lakini Sio katika swala hili! Hao wanafunzi wako sahihi kabisa!
najua unanikejeli kwa jusema hvo, ila bado ukweli utakua palepale tu, haijalishi ni wangapi watanikejeli km wewe, ila siwezi hofia kejeli zenu kwa kusema ukweli juu ya sabato
Katiba inasema huduma muhimu za afya na elimu ni haki ya msingi! !!!!!!!
Anayekataa mtihani anavunja msingi wa haki ya elimu!!!!!
Nimekosea nini mkuu jamaa amesema anaitetea imani mimi nikamuambia awatetee na wanafunzi waliofukuzwa. Elimu ni muhimu sana katika maisha yao.
acha udini, kwa hiyo kila mtu atafute chuo kinamilikiwa na dini yake, na vyuo vinavyomilikiwa na serikali navyo tuseme vinaendeshwa kwa misingi ya dini gani
Unajua nn kwakuwa tayari wameshafukuzwa ni bora waende wakasomee Uchungaji wawe wahubiri basi...Nakuonea huruma unavyo lalamika....Usifungwe na sheria za kipuuzi Mungu hana siku, siku zote ni zake....Unahitaji Neema ya Roho Mtakatifu kuelewa haya..
hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
Umetoa wapi hiyo injili nyepesi nyepesi ya biashara na kuchumia tumbo? Fungua kanisa wewe uwe unahubiri hiyo biashara!
Vipi nyie Mafarisayo kwani hamna wachungaji....Unajua kilicho watokea wenzenu pale SAUT...?
hii!!!!...watu mpaka x-mass an Eid tumefanyaga mitihani we unaongea jpill...uliza Sua na MUccob's.
Wameangamia kwa kukosa maarifa!hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
Vipi nyie Mafarisayo kwani hamna wachungaji....Unajua kilicho watokea wenzenu pale SAUT...?
Vilaza hao wanatafuta sababu za kuondoka chuoni, wangelikuwa wamejiandaa wangegomea mtihani? Thubutu....by the way hao waende iraq bila passport kuhubiri.
Mimi naamini matendo yako ndiyo yatakufanya upendeze kwa watu na mungu wako, lakini na siyo kugoma kufanya mtihani kisa siku ya sabato labda uwe na sababu nyingine. Watu mnajifanya kumpenda mungu pale mnapokuwa na matatizo na pia hamna upendo kati. Hizo nyimbo mnazoimba kila siku kanisani eti mnamsifu mungu hazina maana hiyo. Wewe unayetia mgomo kufanya mtihani usiku ulimwaga chakula wakati huo kuna watu wamelala njaa. Wajinga hao hata ingekuwa mimi ni mkuu wa chuo ningewatimua.