Unajua kuna watu wanapenda tu kusema watakacho bila kufikiria. Ingekuwa imekukuta wewe au mwanao ndipo ungetambua maana yake ni nini. Hii dunia haitakuwa na amani mpaka pale watu watakapoheshimiana imani kwa imani na wasio na imani wawaheshimu wenye imani pia wenye imani wawaheshimu wasio na imani.
Sheria za nchi ziliposema uhuru uwepo sio kwamba zilikuwa hazina akili au hazina maana. Sasa hivi mtu kama unajua una imani ambayo unaweza kusumbuliwa, soma sana upate nafasi katika vyuo vya kiserikali la si ivyo utateseka sana.
Mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni Yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa Yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana Haki haipatikani kwa matendo ya Sheria bali kwa Imani'Galatia 2:16' Galatia 2:21, Ibrahimu alihesabiwa haki kwa Imani. Na sabato ilikuwa ni Agano la Mungu na Wana wa Israel tu 'Hesabu 31:16-17'. Ukisoma Galatia yote nadhani hautakaa tena chini ya Sheria/torati.
Wewe mtu wa ajabu sana...Hao Wasabato wanasema wanaonewa na blah blah bla.....Sasa kama wanaona huko hapawafai ni boira waende kwenye kile chuo chao kinacho wafaa....
Kile chuo chao asilimia 70% ya wanafunzi sio.Wasabato na chuo kinaendeshwa Kisabato, Mbona hawalalamiki...? Jibu ni rahisi hawalalamiki kwasababu wanajua kilicho wapeleka pale ni Elimu na sio Misimamo ya dini zao.....Kwanini hamjifunzi nyinyi watu...? Nani kawalogaaaa nyie Mafarisayo....
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
Huna pakukimbilia wapi wewe....? Arusha si mna chuo...? Au kipo chini ya viwango..?
Ninge penda kuonana na wewe maana naona kuna haja ya kukufahamisha kweli
Sidhani kama hata wewe unajua ni nini unaongea...hata Yesu alisema acheni unafiki, Punda wako akiingia kwenye kisima siku ya sabato hutomtoa? yeye mwenyewe alimponya mtu siku hii...nawe pia akuponye maana hujui usemalo halafu inawezekana we ni mfarisayo...Kama mlikubali kufanya mitihani yenu na siku hizo ulizosema hauna uhakika na Imani yako na Mungu wako! Lakini Kama ungekuwa na Imani usingekubali! Hao wanafunzi wana uhakika na Imani Yao Waacheni wamtetee Mungu wao!
Kati ya watu ninaowasoma hapa JF wanaoonyesha kuwa na chuki na wasabato wewe unaongoza, si mara ya kwanza hii issue ya wanafunzi wasabato kufukuzwa TEKU inaletwa hapa, na mara zote umekuwa mstari wa mbele kuwatukana kila aina ya matusi wasabato.Hivi inakusaidia nini unapoamua kuwaporomoshea matusi ama kuwakashifu watu ambao hawajakukosea chochote? ndio ustaarabu wa dini yako unavyokuelekeza au ni wewe mwenyewe umekengeuka?
Nataka nikufahamishe kwamba hayo ni mapito tu ya dunia na hao wanjafunzi unaowadhihaki Mungu atawafungulia mlango mwingine na watafanikiwa maishani. Tatizo kubwa ninaloliona kwako sawa na wenzako ni kutekwa na wimbi la ukristo mamboleo kiasi kwamba mnajikuta mnaisomma na kuitafsiri Biblia jinsi mnavyotaka ninyi ama mnavyofundishwa katika dini zenu na madhehebu yenu.
Watu wengi mnachanganya mambo kwa makusudi ama kwakutojua, unaposema ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu mpe Mungu, hivi mnaelewa vizuri hicho kifungu cha Biblia ama mnajisikia tu kukiandika ili kukidhi haja zenu?
Umetoa mfano mzuri wa Chuo cha wasabato cha Arusha, je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuwa wasabato? Je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuingia madarasani ama kufanya mitihani siku za jumapili kwa nia ya kuwakomoa wale ambao ni wakristo wanaosali jumapili ilki wasiweze kwenda makanisani mwao kufanya ibada?
Natambua kwamba kuna baadhi ya watu wa dini fulani fulani hasa wanajiita wakristo lakini wanachuki mbaya dhidi ya wakristo wenzao hata kuliko wapagani ama waislamu. Na huu ndio mfano halisi wa watu wenye chuki na roho mbaya kwa kufurahia kuona wakristo wenzao wakinyanyaswa kwa sababu ya imani yao.
Wakati unapoendelea na kejeli na majivuno dhidi ya vijana wenzako wa kitanzania jaribu kusoma neno la Mungu kwa unyenyekevu na msaada wa Roho mtakatifu ili upte maarifa ya kulielewa neno la Mungu bila kulipotosha.
Kitabu cha Kutoka 20 kuanzia fungu la 8-11 kinasema hivi:
8Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. 9Kwa siku sita utafanya kazi zako zote, 10lakini siku ya saba ni Sabato kwa BWANA Mungu wako. Siku hiyo hutafanya kazi yo yote, wewe wala mwana wako au binti yako, wala mtumishi wako wa kiume au wa kike wala wanyama wako, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. 11Kwa kuwa kwa siku sita, BWANA aliumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo ndani yake, lakini akapumzika siku ya saba. Kwa hiyo BWANA akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu.

Sidhani kama hata wewe unajua ni nini unaongea...hata Yesu alisema acheni unafiki, Punda wako akiingia kwenye kisima siku ya sabato hutomtoa? yeye mwenyewe alimponya mtu siku hii...nawe pia akuponye maana hujui usemalo halafu inawezekana we ni mfarisayo...
Nifahamishe hata hapa.
Acha uboya wewe mkeo akipata uchungu utaacha kumpeleka hospitali kisa sabatoila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.