SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Unajua kuna watu wanapenda tu kusema watakacho bila kufikiria. Ingekuwa imekukuta wewe au mwanao ndipo ungetambua maana yake ni nini. Hii dunia haitakuwa na amani mpaka pale watu watakapoheshimiana imani kwa imani na wasio na imani wawaheshimu wenye imani pia wenye imani wawaheshimu wasio na imani.

Sheria za nchi ziliposema uhuru uwepo sio kwamba zilikuwa hazina akili au hazina maana. Sasa hivi mtu kama unajua una imani ambayo unaweza kusumbuliwa, soma sana upate nafasi katika vyuo vya kiserikali la si ivyo utateseka sana.
 
Wajuzi wa mambo wanasema dini bila sayansi ni kama uchawi (Superstition) na sayansi bila dini ni sawa na 'unyama' (materialism).
Najaribu kuvuta hisia na kuwakumbuka wale Wasabato Masalia waliotaka kwenda nje kupitia uwanja wa ndege huku visa zao zikiwa Biblia!
 
Unajua kuna watu wanapenda tu kusema watakacho bila kufikiria. Ingekuwa imekukuta wewe au mwanao ndipo ungetambua maana yake ni nini. Hii dunia haitakuwa na amani mpaka pale watu watakapoheshimiana imani kwa imani na wasio na imani wawaheshimu wenye imani pia wenye imani wawaheshimu wasio na imani.

Sheria za nchi ziliposema uhuru uwepo sio kwamba zilikuwa hazina akili au hazina maana. Sasa hivi mtu kama unajua una imani ambayo unaweza kusumbuliwa, soma sana upate nafasi katika vyuo vya kiserikali la si ivyo utateseka sana.

Hakika umenena mkuu.
 
Jamani wasaidieni vijana wetu hawa wala msiwapuuze. Swali linalonijia ni, Je hawakujua sheria za hicho chuo? Mbona walijiunga na chuo ambacho kinajiendesha tofauti na Imani zao? Hicho ni chuo kikuu si shule ya awali? Jamani, mbona watu wameamua kujichanganya wenyewe?
Sasa, mmefukuzwa, hamuoni hasara ya muda wenu mlioupoteza hata kama ni kwa siku 6 tu mlikaa hapo chuoni? Rudini tu na kuomba supp mkuu hatawanyima, ila mkubali kufanya mitihani yenu hata usiku. Huyo aliye ileta sabato anajua hamkufanya kwa kukusudia. Kama ni aje, angeleta kikwazo kuuzuia mtihani huo siku hiyo kwani sabato ni bora kuliko mtihani.
Ushauri wangu;
Kama huyo Mungu wako hawezi kukutetea, basi achana naye, jitetee mwenyewe. Mwombeni aubadilishe moyo wa mkuu ili mitihani ifanyike j3 lakini si watu 8 tu wabadili mfumo wote wa chuo kwa imani yako. Hiyo si haki.
 
Mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni Yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa Yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana Haki haipatikani kwa matendo ya Sheria bali kwa Imani'Galatia 2:16' Galatia 2:21, Ibrahimu alihesabiwa haki kwa Imani. Na sabato ilikuwa ni Agano la Mungu na Wana wa Israel tu 'Hesabu 31:16-17'. Ukisoma Galatia yote nadhani hautakaa tena chini ya Sheria/torati.

Ninge penda kuonana na wewe maana naona kuna haja ya kukufahamisha kweli
 
Wewe mtu wa ajabu sana...Hao Wasabato wanasema wanaonewa na blah blah bla.....Sasa kama wanaona huko hapawafai ni boira waende kwenye kile chuo chao kinacho wafaa....
Kile chuo chao asilimia 70% ya wanafunzi sio.Wasabato na chuo kinaendeshwa Kisabato, Mbona hawalalamiki...? Jibu ni rahisi hawalalamiki kwasababu wanajua kilicho wapeleka pale ni Elimu na sio Misimamo ya dini zao.....Kwanini hamjifunzi nyinyi watu...? Nani kawalogaaaa nyie Mafarisayo....

Kati ya watu ninaowasoma hapa JF wanaoonyesha kuwa na chuki na wasabato wewe unaongoza, si mara ya kwanza hii issue ya wanafunzi wasabato kufukuzwa TEKU inaletwa hapa, na mara zote umekuwa mstari wa mbele kuwatukana kila aina ya matusi wasabato.Hivi inakusaidia nini unapoamua kuwaporomoshea matusi ama kuwakashifu watu ambao hawajakukosea chochote? ndio ustaarabu wa dini yako unavyokuelekeza au ni wewe mwenyewe umekengeuka?

Nataka nikufahamishe kwamba hayo ni mapito tu ya dunia na hao wanjafunzi unaowadhihaki Mungu atawafungulia mlango mwingine na watafanikiwa maishani. Tatizo kubwa ninaloliona kwako sawa na wenzako ni kutekwa na wimbi la ukristo mamboleo kiasi kwamba mnajikuta mnaisomma na kuitafsiri Biblia jinsi mnavyotaka ninyi ama mnavyofundishwa katika dini zenu na madhehebu yenu.

Watu wengi mnachanganya mambo kwa makusudi ama kwakutojua, unaposema ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu mpe Mungu, hivi mnaelewa vizuri hicho kifungu cha Biblia ama mnajisikia tu kukiandika ili kukidhi haja zenu?

Umetoa mfano mzuri wa Chuo cha wasabato cha Arusha, je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuwa wasabato? Je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuingia madarasani ama kufanya mitihani siku za jumapili kwa nia ya kuwakomoa wale ambao ni wakristo wanaosali jumapili ilki wasiweze kwenda makanisani mwao kufanya ibada?

Natambua kwamba kuna baadhi ya watu wa dini fulani fulani hasa wanajiita wakristo lakini wanachuki mbaya dhidi ya wakristo wenzao hata kuliko wapagani ama waislamu. Na huu ndio mfano halisi wa watu wenye chuki na roho mbaya kwa kufurahia kuona wakristo wenzao wakinyanyaswa kwa sababu ya imani yao.

Wakati unapoendelea na kejeli na majivuno dhidi ya vijana wenzako wa kitanzania jaribu kusoma neno la Mungu kwa unyenyekevu na msaada wa Roho mtakatifu ili upte maarifa ya kulielewa neno la Mungu bila kulipotosha.

Kitabu cha Kutoka 20 kuanzia fungu la 8-11 kinasema hivi:

8Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. 9Kwa siku sita utafanya kazi zako zote, 10lakini siku ya saba ni Sabato kwa BWANA Mungu wako. Siku hiyo hutafanya kazi yo yote, wewe wala mwana wako au binti yako, wala mtumishi wako wa kiume au wa kike wala wanyama wako, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. 11Kwa kuwa kwa siku sita, BWANA aliumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo ndani yake, lakini akapumzika siku ya saba. Kwa hiyo BWANA akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu.
 
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.

Hivi Wasabato ni Wakristu?Anyway hata mimi wakati niko Mlimani miaka ile kuna wasabato waligomea mtihani jumamosi na waka-disco,walilalamika na kushauriwa kuwasilisha malalamiko yao kwenye senate,siku senate imekaa kupitia appeal yao proffesor mmoja akaomba tarehe ya barua ya malalamiko iangaliwe,ikakutwa barua hiyo iliandikwa siku ya Jumamosi,kumbe walivyotoka ibada siku hiyo ndi walikaa na kuandika appeal yao.Rufaa ikatupliwa mbali kwamba huyo ni Mungu gani anayezuia kufanya mitihani Jumamosi lakini akawaruhusu kuandika barua Jumamosi!
 
Huna pakukimbilia wapi wewe....? Arusha si mna chuo...? Au kipo chini ya viwango..?

Kwa taarifa yako mwanafunzi yeyote aliosoma katika shule ya kisabato wanaongoza kwa maadili mazuri ata maofisini na wazazi wa wanafunzi wanaelewa hilo! Someni nyie katika hizo shule zinazoiba mitihani na zinazozarisha watumishi na viongozi mafisadi!
 
Kama mlikubali kufanya mitihani yenu na siku hizo ulizosema hauna uhakika na Imani yako na Mungu wako! Lakini Kama ungekuwa na Imani usingekubali! Hao wanafunzi wana uhakika na Imani Yao Waacheni wamtetee Mungu wao!
Sidhani kama hata wewe unajua ni nini unaongea...hata Yesu alisema acheni unafiki, Punda wako akiingia kwenye kisima siku ya sabato hutomtoa? yeye mwenyewe alimponya mtu siku hii...nawe pia akuponye maana hujui usemalo halafu inawezekana we ni mfarisayo...
 
Tatizo ni imani za kurithishwa ikiwemo na ujinga kwa mtu mwenye, waafrica tunashindwa kufanya kazi hivyo inatubidi tukimbilie kwenye imani. Maendeleo katika nchi yoyote ile huletwa kwa kufanya kazi na siyo imani, leo hii watu wanashinda kwenye mikesha, sherehe na ibada mbalimbali wakiomba kupata kile wanachohitaji lakini hawawezi kufanya kazi kinachofuata ni umaskini wa hali ya juu. Viongozi wa makanisa wanaubiri watu wafanye kazi ili wao wapate kula bila wao kufanya kazi. Leo hii makanisa yameku mengi kwa sababu watu watu wanapenda kuwa matajiri bila kufanya kazi kupitia kufanya miujiza mbalimbali na kukusanya michango ya matoleo na matoleo ya fedha huwa na kima cha chini bila kuwa na kima juu. Wajinga nyie na mungu atawachoma moto kwa kushindwa kufanya kazi.
 
Kati ya watu ninaowasoma hapa JF wanaoonyesha kuwa na chuki na wasabato wewe unaongoza, si mara ya kwanza hii issue ya wanafunzi wasabato kufukuzwa TEKU inaletwa hapa, na mara zote umekuwa mstari wa mbele kuwatukana kila aina ya matusi wasabato.Hivi inakusaidia nini unapoamua kuwaporomoshea matusi ama kuwakashifu watu ambao hawajakukosea chochote? ndio ustaarabu wa dini yako unavyokuelekeza au ni wewe mwenyewe umekengeuka?

Nataka nikufahamishe kwamba hayo ni mapito tu ya dunia na hao wanjafunzi unaowadhihaki Mungu atawafungulia mlango mwingine na watafanikiwa maishani. Tatizo kubwa ninaloliona kwako sawa na wenzako ni kutekwa na wimbi la ukristo mamboleo kiasi kwamba mnajikuta mnaisomma na kuitafsiri Biblia jinsi mnavyotaka ninyi ama mnavyofundishwa katika dini zenu na madhehebu yenu.

Watu wengi mnachanganya mambo kwa makusudi ama kwakutojua, unaposema ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu mpe Mungu, hivi mnaelewa vizuri hicho kifungu cha Biblia ama mnajisikia tu kukiandika ili kukidhi haja zenu?

Umetoa mfano mzuri wa Chuo cha wasabato cha Arusha, je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuwa wasabato? Je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuingia madarasani ama kufanya mitihani siku za jumapili kwa nia ya kuwakomoa wale ambao ni wakristo wanaosali jumapili ilki wasiweze kwenda makanisani mwao kufanya ibada?

Natambua kwamba kuna baadhi ya watu wa dini fulani fulani hasa wanajiita wakristo lakini wanachuki mbaya dhidi ya wakristo wenzao hata kuliko wapagani ama waislamu. Na huu ndio mfano halisi wa watu wenye chuki na roho mbaya kwa kufurahia kuona wakristo wenzao wakinyanyaswa kwa sababu ya imani yao.

Wakati unapoendelea na kejeli na majivuno dhidi ya vijana wenzako wa kitanzania jaribu kusoma neno la Mungu kwa unyenyekevu na msaada wa Roho mtakatifu ili upte maarifa ya kulielewa neno la Mungu bila kulipotosha.

Kitabu cha Kutoka 20 kuanzia fungu la 8-11 kinasema hivi:

8Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. 9Kwa siku sita utafanya kazi zako zote, 10lakini siku ya saba ni Sabato kwa BWANA Mungu wako. Siku hiyo hutafanya kazi yo yote, wewe wala mwana wako au binti yako, wala mtumishi wako wa kiume au wa kike wala wanyama wako, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. 11Kwa kuwa kwa siku sita, BWANA aliumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo ndani yake, lakini akapumzika siku ya saba. Kwa hiyo BWANA akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu.

Well said. Mimi sio msabato.
Ila i can feel how it hurts mtu akikoseshwa haki yamsingi kama elimu kwa kigezo cha imani ambacho hajamkosea mtu wala kumuumiza mtu.

Halafu kingine, kuna wengine wakristu kabisa na kila jumapili wanaimba pendaneni lakini hawaheshimu imani za watu wala kuwaheshimu watu wa imani nyingine. Wao wanachojua ni kukosoa na kuponda wenzio.
 
Kati ya watu ninaowasoma hapa JF wanaoonyesha kuwa na chuki na wasabato wewe unaongoza, si mara ya kwanza hii issue ya wanafunzi wasabato kufukuzwa TEKU inaletwa hapa, na mara zote umekuwa mstari wa mbele kuwatukana kila aina ya matusi wasabato.Hivi inakusaidia nini unapoamua kuwaporomoshea matusi ama kuwakashifu watu ambao hawajakukosea chochote? ndio ustaarabu wa dini yako unavyokuelekeza au ni wewe mwenyewe umekengeuka?

Nataka nikufahamishe kwamba hayo ni mapito tu ya dunia na hao wanjafunzi unaowadhihaki Mungu atawafungulia mlango mwingine na watafanikiwa maishani. Tatizo kubwa ninaloliona kwako sawa na wenzako ni kutekwa na wimbi la ukristo mamboleo kiasi kwamba mnajikuta mnaisomma na kuitafsiri Biblia jinsi mnavyotaka ninyi ama mnavyofundishwa katika dini zenu na madhehebu yenu.

Watu wengi mnachanganya mambo kwa makusudi ama kwakutojua, unaposema ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu mpe Mungu, hivi mnaelewa vizuri hicho kifungu cha Biblia ama mnajisikia tu kukiandika ili kukidhi haja zenu?

Umetoa mfano mzuri wa Chuo cha wasabato cha Arusha, je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuwa wasabato? Je wanafunzi wanaosoma pale wanalazimishwa kuingia madarasani ama kufanya mitihani siku za jumapili kwa nia ya kuwakomoa wale ambao ni wakristo wanaosali jumapili ilki wasiweze kwenda makanisani mwao kufanya ibada?

Natambua kwamba kuna baadhi ya watu wa dini fulani fulani hasa wanajiita wakristo lakini wanachuki mbaya dhidi ya wakristo wenzao hata kuliko wapagani ama waislamu. Na huu ndio mfano halisi wa watu wenye chuki na roho mbaya kwa kufurahia kuona wakristo wenzao wakinyanyaswa kwa sababu ya imani yao.

Wakati unapoendelea na kejeli na majivuno dhidi ya vijana wenzako wa kitanzania jaribu kusoma neno la Mungu kwa unyenyekevu na msaada wa Roho mtakatifu ili upte maarifa ya kulielewa neno la Mungu bila kulipotosha.

Kitabu cha Kutoka 20 kuanzia fungu la 8-11 kinasema hivi:

8Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. 9Kwa siku sita utafanya kazi zako zote, 10lakini siku ya saba ni Sabato kwa BWANA Mungu wako. Siku hiyo hutafanya kazi yo yote, wewe wala mwana wako au binti yako, wala mtumishi wako wa kiume au wa kike wala wanyama wako, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. 11Kwa kuwa kwa siku sita, BWANA aliumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo ndani yake, lakini akapumzika siku ya saba. Kwa hiyo BWANA akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu.

Umetoa maelezo mazuri sana kwa mtu mwenye hekima hawezi kukurupuka na kuanza kuwashambulia hao vijana na imani Yao! Na kuna mtu mmoja yuko hapa na mafungu Yake ya Wagalatia! Anapingana Na sheria! Nataka kumwambia hivi, kosa la wana wa Israel lilikua ni kumkataa Yesu mwokozi wao na kumsurubisha! Na kosa la wakristo wa Leo ni kuzikataa Amri za Mungu ambao ndo msingi wa Dunia na juu mbiguni! Sasa kazi Kwao hao wanaotaka kupingana na huu ukweli!
 
hao jammaa hawako serious hata kidogo.mbona waislamu wanafanya mitihani siki ya ijumaa? wakristo wengine hufanya mitihani hadi jumapili kwa baadhi ya vyuo.hapo ni suala la kuwa LOGICAL tuuu
 
kasome kutoka 20, na ndipo uongee tna haya maneno. na MUNGU akupe hekima yake, matusi,kejeli,dharau, havitakufikisha popote.
 
Sidhani kama hata wewe unajua ni nini unaongea...hata Yesu alisema acheni unafiki, Punda wako akiingia kwenye kisima siku ya sabato hutomtoa? yeye mwenyewe alimponya mtu siku hii...nawe pia akuponye maana hujui usemalo halafu inawezekana we ni mfarisayo...

Ni vema kufanya yaliyo mema na kumpendeza Mungu siku ya Sabato! Kama uponyaji siku ya Sabato ni kitu chema au kuokoa ni vema fikafanyiks siku hiyo! Lakini Sio mitihani! Mungu akuponye na wewe
 
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
Acha uboya wewe mkeo akipata uchungu utaacha kumpeleka hospitali kisa sabato
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom