hyo haikufanikiwa kupita agano jipya la Yesu kristo, ime X-PAYANaona unamtukana Bwana wa sabato(YESU)live bila chenga.Mbona wakristo mnaipinga sana amri ya 4 lkn amri zingine 9 mnazishika halafu mnajibu hoja kwa matusi?
The sabbath was made for men to rest, not for men to serve it!Bado haujaniambia Yesu sloganeering kazi gani siku sabato?
mzaz kishaingia kwnye top ten ya vyuo bora TanzaniaTeku xaxa iv wameanza kulinga kwa sababu kimeanza kujulikana na kupata wanafunzi lakin kwa miaka ya 2008 \2009 xjui kama wangekuwa na jeuri hiyo kwanza chuo kilikuwa hakina hata gorofa moja kilikuwa kinatia uruma kweli aysee kweli maskin akipata _ _ _ _ hulia mbwata
Wataingia kwenye ufalme wa wajinga, Biblia inasema ya kaizari mpe kaizari wao wamegoma.
Pia Biblia inasema ni nani ambaye ng'ombe wake akidumbukia shimoni siku ya sabato hato mtoa?
wenyewe wamejidai manunda, fukuzia mbali nguruwe hao
kasome Biblia yako.....
kama unaisoma vizuri usingebishia hili
Dah,nguruwe!kwani wamekukosea nini mama hadi uwaite nguruwe?
ha haa, look at you.......
Sabato ni nini?
Ni siku ya Juma au Siku ya Bwana?
Kwenye Biblia hawakuandika lini ni siku ya kwanza na lini siku ya mwisho..... Mungu ndo anajua.
Kuna shida gani mimi nikiamua Alhamis ndo itakuwa siku yangu ya Bwana?
Unaweza kunionyesha kwenye Biblia wapi wameandika Sabato ilikuwa Jumamosi?
The sabbath was made for men to rest, not for men to serve it!
"And it happened that He was passing through the grain fields on the Sabbath, and His disciples began to make their way along while picking the heads of grain. The religious leaders were saying to Him, "Look, why are they doing what is not lawful on the Sabbath?" And he said to them, "Have you never read what David did when he was in need and he and his companions became hungry; how he entered the house of God in the time of Abiathar the high priest, and ate the consecrated bread, which is not lawful for anyone to eat except the priests, and he also gave it to those who were with him?" Jesus said to them, "The Sabbath was made for man, and not man for the Sabbath. "So the Son of Man is Lord even of the Sabbath." (Mark 2:23-28) unaweza kupata pia kwenye (Matthew 12:1-14)
The Father and the Son work on the sabbath.
"For this reason the Jews were persecuting Jesus, because He was doing these things on the Sabbath. But he answered them, "My Father is working until now, and I Myself am working." For this reason therefore the Jews were seeking all the more to kill him, because he not only was breaking the Sabbath, but also was calling God His own Father..." (John 5:16-18)
Wewe ni sembe tu!
kasome Biblia yako.....
kama unaisoma vizuri usingebishia hili
Wambie Hawa watu ukweli! Hata Yesu alipokua akiwafundisha ile kweli waliikataa na kumua! Hata wanadamu wa Leo wanazipinga sheria za Mungu ambazo hizo sheria ndo imani ya Yesu! Sasa nashangaa wanadai kumwamini Yesu wakati sheria zake hawazitaki!
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
hyo haikufanikiwa kupita agano jipya la Yesu kristo, ime X-PAYA
Waliomwua Yesu si walikuwa Washika Sheria?
ha haa, look at you.......
Sabato ni nini?
Ni siku ya Juma au Siku ya Bwana?
Kwenye Biblia hawakuandika lini ni siku ya kwanza na lini siku ya mwisho..... Mungu ndo anajua.
Kuna shida gani mimi nikiamua Alhamis ndo itakuwa siku yangu ya Bwana?
Unaweza kunionyesha kwenye Biblia wapi wameandika Sabato ilikuwa Jumamosi?
Haya mafungu hayaoneshi ushahidi wa Yesu kufanya kazi Kama kazi! Labda unisaidie maana sioni tendo la kazi hapo na majibu ya Yesu yako wazi na yanaeleweka!