Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kama kweli wana maanisha wamshtaki na Makonda.Kwa mahakama hizi nashangaa hadi sasa yuko magereza, ukiwa mwanaccm una kinga ya kufanya maovu. Huyo huenda alipishana na mama Samia kipindi akiwa kileleni kwenye utawala wa dhalimu. Nakumbuka mmoja ya watu waliokutana na kiburi cha madaraka cha Sabaya, ni marehemu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mama Ana Mghwira.
Huyu wanamuonea tu.