Kama kweli wana maanisha wamshtaki na Makonda.Kwa mahakama hizi nashangaa hadi sasa yuko magereza, ukiwa mwanaccm una kinga ya kufanya maovu. Huyo huenda alipishana na mama Samia kipindi akiwa kileleni kwenye utawala wa dhalimu. Nakumbuka mmoja ya watu waliokutana na kiburi cha madaraka cha Sabaya, ni marehemu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mama Ana Mghwira.
Huwa umejaa kaupumbavu fulani kwenye kiuno.Jiheshimu!Kesi ya sabaya ni ya kisiasa tu
This administration knows.
Kutumia madaraka kutesa watu.
Wakimshitaki na huyo, utakuja hapa kusema wanamuonea tuu.Kama kweli wana maanisha wamshtaki na Makonda.
Huyu wanamuonea tu.
Ni kutesa kwa zamu!Mtu anateseka namna hii kwa ajili ya kufurahisha wengine.
Haya madaraka ni ya muda tu.
Kama sio wao ni watoto au wajukuu wao. Will experience the same treatment.
Hata aliowafanyia uovu hawakuwa na kesi mahakamaniMbona hakuna kesi ya mauaji. Mahakamani??
Kama kweli wana maanisha wamshtaki na Makonda.
Huyu wanamuonea tu.
Huyu anaonewa tu ili kuwafurahisha watu fulani.Huyu hawamuonei bali ndio anachostahili. Hapa tulipo tunashangaa inakuwaje Makonda anaachwa wakati na yeye alifanya unyama wa wazi kama Sabaya. Ndio maana nakuambia huenda alimuonesha mama Samia dharau wakati wa kipindi cha dhalimu.
Sijafikia hatua ya kumwonea huruma Sababya kutokana na tabia aliyokuwa akiionyesha wakati alipokuwa madrakani.Mtu anateseka namna hii kwa ajili ya kufurahisha wengine.
Haya madaraka ni ya muda tu.
Kama sio wao ni watoto au wajukuu wao. Will experience the same treatment.
Zamu yenu ss kukinywa kikombeMtu anateseka namna hii kwa ajili ya kufurahisha wengine.
Haya madaraka ni ya muda tu.
Kama sio wao ni watoto au wajukuu wao. Will experience the same treatment.
Wakati mnachukua hela za watu arusha hamkuyajua haya?Mtu anateseka namna hii kwa ajili ya kufurahisha wengine.
Haya madaraka ni ya muda tu.
Kama sio wao ni watoto au wajukuu wao. Will experience the same treatment.
..watuhumiwa wenzake wameweza vipi kukiri makosa na kuhukumiwa wakati upelelezi wa kesi bado haujakamilika?
..Upande wa serikali / Jamhuri unachezea kesi ya Sabaya kwa makusudi na mahakama inashiriki kumnyima haki?
Huyu anaonewa tu ili kuwafurahisha watu fulani.
Kama kweli wanataka kushitaki watu. Orodha ni ndefu mno.
Huyu ni mbuzi wa kafara tu.
Hata yeye alitesa na kunyanyasa watu ili kumfurahisha Jiwe yeye alijua madaraka yake yatakuwa ya milele.
Mwache ale matunda aliyochuma.