Sabaya amekiri makosa yote yaliyokuwa yanamkabili na Uhujumu Uchumi. Walionyanyaswa na Sabaya waende wapi Kushitaki?

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
692
Reaction score
880
Anaandika Malisa GJ

Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa wafanyabiashara, watu binafsi na taasisi, faini yake ni milioni 5 tu. Makosa mengine Mahakama imempata na hatia na imempa adhabu ya kumwachia huru kwa masharti kuwa asifanye kosa lolote ndani ya mwaka mmoja (conditional discharge).

Lakini je, watu walionyanyaswa na Sabaya waende wapi kudai haki zao? Wapo waliopigwa, waliodhulumiwa mali, na wengine kugeuzwa vilema na Sabaya. Kwa mfano Diwani mstaafu wa kata ya Narumu (Chadema), Bw.Nickodemo Mbowe, yeye na mwanae walivunjwa miguu na Sabaya. Oktoba 2020 Sabaya na genge lake walivamia nyumbani kwa Nickodemo na kumpiga wakimtuhumu kuchapisha kura feki.

Akaambiwa aoneshe mtambo wa kuchapishia kura ulipo. Akasema hana mtambo wowote. Sabaya akapekua nyumba akakuta laptop akavunja, akakuta TV akavunja, kisha wakampiga mzee Nickodemo na kumvunja mguu. Mwanae alipojaribu kumuokoa baba yake nae akapigwa na kuvunjwa mguu. Dogo alipoonekana mbishi akakatwa sikio. Nyumba nzima ikatapakaa damu. Familia ikaomboleza, kijiji kizima cha Narumu kikaomboleza. Lakini wafuasi wa Sabaya wakamsujudu na kumtukuza wakimwita "Jenerali"

Leo Nickodemo na mwanae wamebaki na ulemavu wa kudumu. Kila wanapotizama vilema vyao wanamkumbuka Sabaya. Kijana amepata ulemavu wa kusikia. Upepo ukivuma kwake ni mateso. Lakini mtesi wao ameachiwa huru kwa kigezo cha kukiri.

Kukiri hakuondoi hatia, kukiri hakukufanyi uwe msafi, kukiri hakubadilishi yaliyotokea. Kukiri kunasaidia Mahakama iweze kukuhukumu kwa haki bila kuhitaji upelelezi wa ziada. Ni ajabu mtu anakiri, badala ya kufungwa anasamehewa.

Eti tumemsamehe kwa masharti ya kutokufanya kosa ndani ya mwaka mmoja.! Nonsense kabisa. Basi toeni fursa kwa majambazi wote waliopo magereza, wakikiri muwaachie huru kwa masharti hayohayo mliyompa Sabaya. Fanyeni ujanja-ujanja tu lakini msisahau yupo Hakimu asiyeweza kufanyiwa ujanja. Jina lake ni YEHOVAH. Yeye hana "plea bargaining". Anaweza kuingilia kati na kuamua ugomvi kama alivyoamua 2021. Hamjifunzi tu??
 
Kwani angefungwa jela, wangeenda wapi kudai? Ukiwa bias lazima akili ishindwe kutafsiri baadhi ya matukio. Nani amewahi kulipwa kwa kosa la jinai?
Kosa la madai ndio lina malipo.
 
Mimi sioni haja ya kulalamika kwani wale wote waliotendewa unyama ule bado wapo. Kazi kwao, wataamua wenyewe kumsamehe/kumuachia Mungu au kulipiza kwa namna watakavyoona itafaa.

Kwa Wamaasai kazi ndogo tu hiyo. Kuvunja chungu.
 
Hata wakivunja vyungu vyote na masufuria hawatamkuta. Na ubaya wa chungu, inabidi uwe na uhakika wa unachokifanya na uhakika wa kufanyiwa unyama. Chungu haitaki fitna hata kidogo. Vinginevyo itakurudia wewe mwenyewe.
 
Ni kujichukulia sheria mkononi ndio kilichobaki maana hakuna namna tena
 
Hata wakivunja vyungu vyote na masufuria hawatamkuta. Na ubaya wa chungu, inabidi uwe na uhakika wa unachokifanya na uhakika wa kufanyiwa unyama. Chungu haitaki fitna hata kidogo. Vinginevyo itakurudia wewe mwenyewe.
Unafahamu lakini taratibu za upatikanaji na uvunjaji wa chungu?? Ni pale tu unapoona kuwa umedhulumiwa haki yako. Chungu hakina rushwa wala ujuaji wa sheria.
 
Ndio maana nasema chungu hakina nafasi katika hili.
 
Malisa analia lia kuwatetea ndugu zake lakini haiwezekani kwa sasa kwa sababu kesi ilishafikishwa mahakamani na sio lazima mahakama itende unavyotaka wewe.
Godlisten Malisa ana undumilakuwili.
 
Katiba Mpya Ni Muhimu Ili Ilete Ufumbuzi Wa Yasiyo Na Majibu
 
Kwani angefungwa jela, wangeenda wapi kudai? Ukiwa bias lazima akili ishindwe kutafsiri baadhi ya matukio. Nani amewahi kulipwa kwa kosa la jinai?
Kosa la madai ndio lina malipo.
Justice. Inafariji kuona alokutendea ubaya yuko gerezani. Hivyo tuu.
 
Anaandika Malisa GJ

Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa wafanyabiashara, watu binafsi na taasisi, faini yake ni milioni 5 tu. Makosa mengine Mahakama imempata na hatia na imempa adhabu ya kumwachia huru kwa masharti kuwa asifanye kosa lolote ndani ya mwaka mmoja (conditional discharge).

Lakini je, watu walionyanyaswa na Sabaya waende wapi kudai haki zao? Wapo waliopigwa, waliodhulumiwa mali, na wengine kugeuzwa vilema na Sabaya. Kwa mfano Diwani mstaafu wa kata ya Narumu (Chadema), Bw.Nickodemo Mbowe, yeye na mwanae walivunjwa miguu na Sabaya. Oktoba 2020 Sabaya na genge lake walivamia nyumbani kwa Nickodemo na kumpiga wakimtuhumu kuchapisha kura feki.

Akaambiwa aoneshe mtambo wa kuchapishia kura ulipo. Akasema hana mtambo wowote. Sabaya akapekua nyumba akakuta laptop akavunja, akakuta TV akavunja, kisha wakampiga mzee Nickodemo na kumvunja mguu. Mwanae alipojaribu kumuokoa baba yake nae akapigwa na kuvunjwa mguu. Dogo alipoonekana mbishi akakatwa sikio. Nyumba nzima ikatapakaa damu. Familia ikaomboleza, kijiji kizima cha Narumu kikaomboleza. Lakini wafuasi wa Sabaya wakamsujudu na kumtukuza wakimwita "Jenerali"

Leo Nickodemo na mwanae wamebaki na ulemavu wa kudumu. Kila wanapotizama vilema vyao wanamkumbuka Sabaya. Kijana amepata ulemavu wa kusikia. Upepo ukivuma kwake ni mateso. Lakini mtesi wao ameachiwa huru kwa kigezo cha kukiri.

Kukiri hakuondoi hatia, kukiri hakukufanyi uwe msafi, kukiri hakubadilishi yaliyotokea. Kukiri kunasaidia Mahakama iweze kukuhukumu kwa haki bila kuhitaji upelelezi wa ziada. Ni ajabu mtu anakiri, badala ya kufungwa anasamehewa.

Eti tumemsamehe kwa masharti ya kutokufanya kosa ndani ya mwaka mmoja.! Nonsense kabisa. Basi toeni fursa kwa majambazi wote waliopo magereza, wakikiri muwaachie huru kwa masharti hayohayo mliyompa Sabaya. Fanyeni ujanja-ujanja tu lakini msisahau yupo Hakimu asiyeweza kufanyiwa ujanja. Jina lake ni YEHOVAH. Yeye hana "plea bargaining". Anaweza kuingilia kati na kuamua ugomvi kama alivyoamua 2021. Hamjifunzi tu??
Waliodhuriwa na jambazi sugu Sabaya wachukue sheria mkononi tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
..nashauri bwana Nicodemu Mbowe ajitokeze mbele ya VYOMBO VYA HABARI aeleze kilichomtokea.

..Ole Sabaya amefanya plea bargain kwa makosa ya uhujumu uchumi, bado anaweza kushtakiwa kwa makosa ya kupiga, kujeruhi, na kutia ulemavu watu ikiwemo bwana Nicodemu.

NB:

..Chadema wamsaidie bwana Nicodemu kuita PRESS CONFERENCE na kudai HAKI yake.

Cc Erythrocyte
 
Back
Top Bottom