MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Alijiongeza.Alitumwa awapige watu,awateke watu,alawiti watu,ashiriki group sex,above all apore Mali za watu
Kilichomponza ni hiki cha kutaja mabosi zake, kwenye ishu kama zile umtaji boss Ili wakuokoe kwa njia nyingi wanazo.Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo.
Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua wanamtuma wewe ni nani hasa uendekee kufanya ujinga eti umetumwa? Vijana tulieni na mfanye kazi kwa weledi.
Huwezi pata kesi kama ukutenda Mungu ukuokoa.KESI YA SABAYA NI KESI YA KISASI TU ,ILA KESI ZA KISASI ZIMEGAWANYIKA MAKUNDI MAWILI na kundi la kisasi cha haki kimegawa nyika makundi mawili
1) KISASI CHA HAKI
a)kisasi cha haki cha kinafiki
b)kisasi cha haki kisicho cha kinafiki
2) KISASI KISICHO CHA HAKI
Alipokuwa akiwaambia wenzake OCD kamata huyu weka ndani,kama ndani ni kuzuri akakaeMwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya wamemtoa nywele but ulinzi hawajamuondolea[emoji23][emoji23]
View attachment 1978608
KESI YA SABAYA NI KESI YA KISASI TU ,ILA KESI ZA KISASI ZIMEGAWANYIKA MAKUNDI MAWILI na kundi la kisasi cha haki kimegawa nyika makundi mawili
1) KISASI CHA HAKI
a)kisasi cha haki cha kinafiki
b)kisasi cha haki kisicho cha kinafiki
2) KISASI KISICHO CHA HAKI
Sabaya anasikitisha sana, it is accumulated behavioral characters toka akiwa chuo pale ambapo hakumaliza na kaenda nazo hadi kwenye uongozi huko. Ila naona bado anatembea na bodyguards wakimlinda kama enzi zile DC walinzi au akiwa kitaa na mabaunsa wake tofauti yake tu hapo ni ulinzi kwa muktadha tofautiMwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya wamemtoa nywele but ulinzi hawajamuondolea[emoji23][emoji23]
View attachment 1978608
Sana nimetoka kulisema katika maongezi hapa na wananzengo kumbe na.huku lipo.Chidi benz aliwashauri waboreshe magereza.Hawakusikia.
Wewe ni mpumbavuu original watu kama singasinga na rugema... unasema walisingiziwa wewe ni pumbavuu la mwisho ,na ufisadi wa rada ,watu kubeba pesa kwenye rumbesaHuwezi pata kesi kama ukutenda Mungu ukuokoa.
Wazee wa escrow na uhamsho waliwabambika wakawaweka ndani bila ushahidi kwa aibu ya kukosa ushahidi zaidi ya uonevu wakawaachia.
Namba moja a" kisasi cha haki cha kinafiki kwa sababu kuna mafisadi wakubwa nchini mfano kufutiwa kesi singasinga na mwenzake rugema.. ambao ni mafisadi wa kimataifa alisha haribu hadi nchi jirani.Kwa maneno haya unataka kusema case ya Sabaya ilikuwa upande gani hapo?