Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..View attachment 1823510
Acha unafiki. Warembo wako wapi hapo?
 
Hiyo ndiyo maana halisi ya maisha kuna kupanda na kushuka
Kweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
 
Hujielewi
 
Back
Top Bottom