tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
HujielewiKweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!