Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

Acha unafiki. Warembo wako wapi hapo?
 
Hiyo ndiyo maana halisi ya maisha kuna kupanda na kushuka
Kweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
 
Hujielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…