HujielewiKweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
Wakati wanamjua walikuwa pamoja naeUnakuta sa hizi hawa wako busy kusema simjui mtu huyu
Watoto wa kichagga hao hakuna hata aliyekwenda jela kumjulia khali. Umenielewa dudumizi 09Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..View attachment 1823510
Lakini yuko huru kwenye nchi yake...Kweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
Wengine washamkataa kitambo😀Hao mbung'o waliojazana hapo sasa hivi ndio wanampigania na kudai sio jambazi kwa sababu walikuwa wanafaidika.
SaFI SANA saana sana he lived his life, he got nothing to regret kwa upande huu. Safi kabisaaa, aliutumia vyema ujana na nafasi yake sema tu alikua mwehu. Wanawake buana dahMkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..View attachment 1823510
Hahahaaa jibu murua kabisa hiliLakini yuko huru kwenye nchi yake...
We mi si mshabiki wa Mbowe ila hawezi kufikia kuomba lift kwa mtu yeyote yule,usafiri atakua nao na anao wa kutosha tu.Kweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
Sasa kilichowakimbiza Lissu na Lena nini sasa?Lakini yuko huru kwenye nchi yake...
mbowe ni mpambanaji amezaliwa na hela na ni kiongozi wa kuigwa ,huwezi kumfananisha na huyo jambazi ambaye anakupiga paipu huko halafu unakuja kumsifia JfKweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
Kuna hoja zingine yaani unashindwa mtu umjibuje.mbowe ni mpambanaji amezaliwa na hela na ni kiongozi wa kuigwa ,huwezi kumfananisha na huyo jambazi ambaye anakupiga paipu huko halafu unakuja kumsifia Jf
Zama zilizopita....Sasa kilichowakimbiza Lissu na Lena nini sasa?