Nina watoto watano na wote wamesoma English Medium. Na waliokwishafika sekondari wapo Private. Mimi sio Mtanzania wa kulialia. Soma jumbe zangu humu utathibitisha hilo. Kwa taarifa yako, nilianza kuingia Mbowe Club (kabla haijaitwa Bilicanas) wakati huo Freeman Mbowe simjui bali namjua babaake akiitwa George Mbowe.