Sabaya kaiaibisha Ikulu kwa kuihusisha na uhalifu alioshitakiwa nao

Atuletee na ushahidi wa yeye kupewa hayo maagizo na Ikulu ya JPM na makamu wake akiwa SSH ambaye atakua shahidi mzuri sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nawaona wale wa kusema mama alikua hashirikishwi.... mama anahujumiwa๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Imagine Mpango na ile PhD yake akiwa amevaa suti anatuma maduka yakavunjwe na kuporwa!Mtu mweusi ni Kima aliechangamka aisee!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Wewe umemuamini ole๐Ÿค”

Wacha tusubiri hukumu
 
Haya ya Sabaya kuhusisha ikulu ni ya kufikirisha.
 
Atuletee na ushahidi wa yeye kupewa hayo maagizo na Ikulu ya JPM na makamu wake akiwa SSH ambaye atakua shahidi mzuri sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nawaona wale wa kusema mama alikua hashirikishwi.... mama anahujumiwa๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Mi nasubir Kwa hamu mana walimwangushia jumba bovu sabaya na wakamfukuza kazi kumbe na wao wamo
 
Sabaya hajaiaibisha ikulu, katoa picha khalisi ya namna katiba ya mwaka 1977 inavyoweza kumfanya mtawala akawa jambazi, mtekaji, mtunguaji na hayawani kabisa, na akifanya unyambilisi wake wote huo, hamna wa kumuuliza, wote mnaufyata mkia
Mh?
 
Toka awamu ya kwanza watu wameteseka Sana..unajua kwa Nini wanaimba CCM ni Ile Ile..
 
Wewe umemuamini ole๐Ÿค”

Wacha tusubiri hukumu
Kabla hata ya kusema haya aliyoyasema kulikuwa na viashiria vyote kuwa kuna walio juu yake.

Alikuwa anafanya uhalifu mkubwa sana na watu walilalamika sana na CCTV camera video zilikuwepo lakini alikuwa hachukuliwi hatua yoyote ile.

Alikuwa anatumia hadi magari ya UN kufanya uhalifu lakini alikuwa haguswi.

Serikali haramu ya Magufuli ambayo ilikuwa haina kibali cha wananchi ilikuwa ni serikali ya kigaidi iliyowapa wateule wake kiburi cha hali ya juu.
 
Halafu mataifa yote duniani yanafanya haya mambo, tofauti ni kuwa viongozi wao wana uzoefu na hivyo hawaruhusu mambo kama haya yawe wazi tofauti na sisi ambao tuna mkuu mweupe kichwani.
Jamaa yenu alikuaga anamtuma dogo akapore hela ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜,aibu kishenzi.
 

Aliyekua makamu wa rais na aliyekua waziri wa fedha sasa ni rais na makamu wake
Subiri upate majibu

Mi nasubir Kwa hamu mana walimwangushia jumba bovu sabaya na wakamfukuza kazi kumbe na wao wamo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yanaongelewa kuwa maovu yasiyokemewa ni swala la muda tu kabla hawajazitoa hata siri zao za uvunguni. Mungu huadhibu tawala zilizofitinika kwa njia mbalimbali.
 
K
Tatizo la Magu ilikuwa ni kutoa order: "...fanya lolote uwezalo ili mradi....". Hii ilifanya watu wafanye kila kitu ili mradi mzee anaridhika. Kweli wengi wameumia hata kupoteza maisha kwa mtindo huu.
Kwa hiyo Magufuli alikuwa afanyi Risk assessment kabla ya kuwatuma kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ