Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndiyo walikuwa wanaoitwa WAZALENDO
Tunajua ni mporaji tulichokuwa tunasubiri ni kudhihirika walioitwa will wakijulikanana, acheni kelele ngoma inogile muda si mrefu.Kwani lini Sabaya amekiri kupora tena kwa kutumia silaha?
hao ndio viongozi wetuHizi tuhuma ambazo zinatolewa na Sabaya kuwa mamlaka ya uteuzi ilihusika kumpa kazi maalumu kisha tuhuma za uhalifu zikatokea ni aibu kwa taifa letu.
Ikulu ambayo ndio mahala pa kuonyesha mamka ya wananchi kuwageuka wananchi na kumtuma Sabaya kufanya uhalifu ni aibu kubwa na fedheha kwa taifa letu.
Yaani wananchi wanapiga kura kisha kuteua mtu ambaye anapewa mamlaka ya kuwa rais ili aongoze taifa kwa niaba ya watanzania wote, alafu anatuma mtu au watu maalulu ili kwenda kutesa na kupora kwa kutumia siraha.
Hii ni aibu na fedheha kwa taifa let
shida ni katiba yetu,ndio maana imekuwa ni mwiba sana kwa viongozi wengi kukubali katiba mpyaMpunguzieni raisi nguvu kubwa alionayo na pia mifumo imara ya nchi, kama kiongozi anaweza toa oda ya operetiona za kihuni kufanyanyika bila kufuata taratibu na sheria kuna tatzo kwenye vyombo vya ulinzi, washauri wa raisi na usalama wa taifa, vitu vingine ni aibu kwa nchi
ndio maana MUNGU MWENYEZI akamtwaa early in the morning ili asiendelee na maovu yake kwa walio wemaTatizo la Magu ilikuwa ni kutoa order: "...fanya lolote uwezalo ili mradi....". Hii ilifanya watu wafanye kila kitu ili mradi mzee anaridhika. Kweli wengi wameumia hata kupoteza maisha kwa mtindo huu.
Hoja yangu ni kuwa haya mambo yanafanywa na serikali zote duniani, not otherwise.Hayo mataifa duniani hayatumi watu vilaza kufanya hizo kazi, wanatumwa watu waliopikwa na wakaiva kwenye hizo ishu, hawaachi hata tone la ushahidi! Sasa jamaa yako marehemu alikuwa anaokota okota vilaza anawatuma kazi sensitive, mwisho wake wanakwapua hata simu ya 35,000!!! JK, Mkapa, Mwinyi, Nyerere wote walifanya operations maalum, hamna iliyo leak kizembezembe!! Hili fala lako lilikuwa linalala hotelini halilipi, likidaiwa linawatisha watu kuwa anaweza wafanya chochote sababu yeye ndiyo mkuu wa wilaya pekee anayeweza mpigia simu Magu muda wowote na akapokea, Acha kutetea ujinga..
Then ithibitishie mahakama.Tunajua ni mporaji tulichokuwa tunasubiri ni kudhihirika walioitwa will wakijulikanana, acheni kelele ngoma inogile muda si mrefu.
Alishatokea, labda atokee mwehu mwingine....MADARAKA YA RAIS NI MAKUBWA MNO! Sijui kwanini hili somo linagoma kueleweka! Siku akitokea "mwehu" kwa Katiba hii tutalia na kusaga meno! Na hata asipotokea "mwehu", kwa Katiba hii tusahau neno MAENDELEO.
Mbona wachaga ndio mlikuwa mnapiga sana kelele? wachaga wanapenda sana sana biashara ya magendo ndio walimwona Sabaya na Magufuri wabaya,atusikii hizo kelele katika mikoa mingine isipokuwa Moshi na Kilimanjaro, Wachaga wacheni wizi, hata akija Rais mwingine asiyependa wizi mtapata shidaIko wazi kuwa Magu alikuwa kiongozi muovu, hao akina Sabaya wanadhihirisha tu kile kinachofahamika na wengi. Ukweli ni kuwa nchi hii iliangukia mikononi mwa mtu dhalimu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika
He, we vipi. Sasa wachaga na hii mada wapi na wapiMbona wachaga ndio mlikuwa mnapiga sana kelele? wachaga wanapenda sana sana biashara ya magendo ndio walimwona Sabaya na Magufuri wabaya,atusikii hizo kelele katika mikoa mingine isipokuwa Moshi na Kilimanjaro, Wachaga wacheni wizi, hata akija Rais mwingine asiyependa wizi mtapata shida
Wachaga ndio wanashangilia sana kifo cha Magufuri na kukamatwa kwa SabayaHe, we vipi. Sasa wachaga na hii mada wapi na wapi
Katiba yetu ndio inayoruhusu huo mwanya wa mtu kufanya uovu na kwa namna ccm ilipofikia Sasa haiwezi kuongoza watu kwa hoja na ushawishi Bali Ni nguvu na umwagaji damu TU ndio njia pekee iliyobaki. Hivyo Basi hata huyu Samia ni lazima awe muovu, katili Ili aweze kuongoza kupitia ccm.Iko wazi kuwa Magu alikuwa kiongozi muovu, hao akina Sabaya wanadhihirisha tu kile kinachofahamika na wengi. Ukweli ni kuwa nchi hii iliangukia mikononi mwa mtu dhalimu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika
Kilaza mkubwa weweHalafu mataifa yote duniani yanafanya haya mambo, tofauti ni kuwa viongozi wao wana uzoefu na hivyo hawaruhusu mambo kama haya yawe wazi tofauti na sisi ambao tuna mkuu mweupe kichwani.
😁Kilaza mkubwa wewe
Mbona wachaga ndio mlikuwa mnapiga sana kelele? wachaga wanapenda sana sana biashara ya magendo ndio walimwona Sabaya na Magufuri wabaya,atusikii hizo kelele katika mikoa mingine isipokuwa Moshi na Kilimanjaro, Wachaga wacheni wizi, hata akija Rais mwingine asiyependa wizi mtapata shida