Sabaya kaiaibisha Ikulu kwa kuihusisha na uhalifu alioshitakiwa nao

Iko wazi kuwa Magu alikuwa kiongozi muovu, hao akina Sabaya wanadhihirisha tu kile kinachofahamika na wengi. Ukweli ni kuwa nchi hii iliangukia mikononi mwa mtu dhalimu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika
 
Kwani Sabaya kakutwa na hatia?
Nini maana ya mahakama kutamka kuwa mtuhumiwa ana kesi ya kujibu? Na kwanini apewe nafasi ya kuwasilisha utetesi wake Kama Hana hatia? Jifunze lugha za kimahahakama ili ukipelekwa usije kuonekana mgeni!
 
Nini maana ya mahakama kutamka kuwa mtuhumiwa ana kesi ya kujibu? Na kwanini apewe nafasi ya kuwasilisha utetesi wake Kama Hana hatia? Jifunze lugha za kimahahakama ili ukipelekwa usije kuonekana mgeni!
Pale mahakamani hakuna mtu yoyote aliewasilisha ushahidi usio na shakha kuwa Sabaya alifanya ujambazi na ndiyo maana Sabaya alikuwa anarejea mapungufu ya upande wa mashahidi wa Jamhuri kuwa inakuwaje mtu anafika leo tarehe 15 August 2021 sehemu unayodai kuibiwa alafu unakuja kujua tarehe 22 August 2021 kuwa uliibiwa nayeye angali we ulikuwepo eneo ilo lakini hukumuona anachukua hizo pesa milion 2 ila tu umekaa tarehe 22 unakuja kujua pesa milion 2 hakuna. Wale wanachokifanya kwakuwa Sabaya alifika eneo lile tajwa basi wanambambikizia tu kuwa alichukua na hela!

Ni sawa naww leo hii umekorofishana na mtu fulani eidha kwakuwa alikuja kwako labda sebureni ndo mkapigana ukaamua kumuangushia jumba bovu kuwa hapo sebureni kwenye droo kulikuwa na milion 1 siioni hivo kanisabqbishia upotevu inabidi anilipe.
 
Bado nataka kufahamu kwa nini kauli ya ANAUPIGA MWINGI inaanza kupotea, watu fulani humu mlikuwa mna kejeli sana wengine wanao onyesha kutomkubali boss wenu, kwani mko wapi?.
zile zilikua dakika 5 za mwanzo saivi mechi imeelemea upande wake,uwanja ukiwa umeinama mashambulizi kama yote
 
zile zilikua dakika 5 za mwanzo saivi mechi imeelemea upande wake,uwanja ukiwa umeinama mashambulizi kama yote
Kuna jamaa humu naona haya kumtaja alikuwa mpaka anatoa machozi ya furaha kwa kuupiga mwingi leo ukisoma topic zake unaweza kucheka aseee 😃!!
 
Nini maana ya mahakama kutamka kuwa mtuhumiwa ana kesi ya kujibu? Na kwanini apewe nafasi ya kuwasilisha utetesi wake Kama Hana hatia? Jifunze lugha za kimahahakama ili ukipelekwa usije kuonekana mgeni!
Kuwa na kesi ya kujibu ina maana kuna tuhuma unakiwa uzikanushe. Naona aibu kukujibu mtu kama wewe.
 
Ndio maana twataka Katiba mpya iliyo bora itakayo zuia watu wa kuokoteza kuingia na kunajisi ikulu. Ikulu ni mahali patakatifu.
 
Dai katiba mpya acheni porojo

Siku ukijua kuwa alimuua kwa mkono wake ndani ya ikulu kisha mwili wake ukatupwa kwenye kisiwa cha chatu
Ndo utajua ikulu yetu ilinajisiwa
Interesting
 
Atuletee na ushahidi wa yeye kupewa hayo maagizo na Ikulu ya JPM na makamu wake akiwa SSH ambaye atakua shahidi mzuri sana😂😂😂

Nawaona wale wa kusema mama alikua hashirikishwi.... mama anahujumiwa😎😎
Na wewe pia wataka tuamini kuwa IKULU ni mamlaka yako ya UTEUZI? Na ndio imekutuma humu? Basi huko CCM, IMBOMBO ngafu fijo.
 
Halafu mataifa yote duniani yanafanya haya mambo, tofauti ni kuwa viongozi wao wana uzoefu na hivyo hawaruhusu mambo kama haya yawe wazi tofauti na sisi ambao tuna mkuu mweupe kichwani.
Hayo mataifa duniani hayatumi watu vilaza kufanya hizo kazi, wanatumwa watu waliopikwa na wakaiva kwenye hizo ishu, hawaachi hata tone la ushahidi! Sasa jamaa yako marehemu alikuwa anaokota okota vilaza anawatuma kazi sensitive, mwisho wake wanakwapua hata simu ya 35,000!!! JK, Mkapa, Mwinyi, Nyerere wote walifanya operations maalum, hamna iliyo leak kizembezembe!! Hili fala lako lilikuwa linalala hotelini halilipi, likidaiwa linawatisha watu kuwa anaweza wafanya chochote sababu yeye ndiyo mkuu wa wilaya pekee anayeweza mpigia simu Magu muda wowote na akapokea, Acha kutetea ujinga..
 
Serikali yote inahusika Hadi Leo hii pamoja na Sirro Sabaya atasema ni Nani watekaji siku nyingine Kwa sababu alikuwa miongoni MWA viongozi WA operation za utekaji. Niwaonye wananchi kuwa makini wakikumbana na haya majambazi yanayojiita polisi. Mapambano yaanze tuyapige popote yatakapojaribu kuingia kwenye operation.
 
Inasikitisha sana, kaamua kumwaga mboga...
 
Kwani siku ile alipokamatwa alivyosema itafika wakati atamtaja anayeendesha karakana ya ibilisi hukuelewa? Hakuiaibisha bali kasema ukweli, ndiyo maana tunaposema CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala muwe mnatuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…