Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 753
- 1,812
Aisee hata akitoka lkn amenyooshwa na amenyooka haswa!!Magaidi kesho watapigwa butwaa
Kama anavyonyooshwa mboweAisee hata akitoka lkn amenyooshwa na qmenyooka haswa!!
Sabaya ameshtakiwa kwa makosa 6 akimaliza hilo Kuna makosa 5 yanamsubiriiYale mashtaka ya ubakaji na kutafuna exost wananchi yamepotelea wap?[emoji848]
Aisee misukule haitaisha nchi hii labda ziwa Tanganyika likauke yaani huyu nae anajiita NabiiTuwahi kwenye mkesha ndugu zanguπ€π€π€π€
View attachment 1888778
Bwana ako au?We stand with sabaya #sabayasiogaidi