tafuta tu bwana mwingine, Sabaya hatoki kabisaaaAtachomoka huyo hakuna kesi hapo
Kama kunyooshwa kanyooshwa
Ova
We MΓ taga ushawahi kwenda hata kwa mjumbe wa mtaa akajua maana ya kesi?Atachomoka huyo hakuna kesi hapo
Kama kunyooshwa kanyooshwa
Ova
πBwana ako au?
ππππAisee misukule haitaisha nchi hii labda ziwa Tanganyika likauke yaani huyu nae anajiita Nabii
Haahaahaaaa Aisee Dunia haitakuja Isha manyumbu
Chaaaaaaaaaaaaa!
πππππ
Mkuu vipi naomba mrejesho ashachomoka De General Ole Sabaya kama ulivyotayabanishq jana?Atachomoka huyo hakuna kesi hapo
Kama kunyooshwa kanyooshwa
Ova
Tupe mjesho mkuuMkuu vipi naomba mrejesho ashachomoka De General Ole Sabaya kama ulivyotayabanishq jana?
"Kweli Kila enzi na kitabu chake" ... alisikika mtu mmoja huku akitokwa na chozi zito
Niki report kutoka Hai Kilimanjaro mimi ni georgeeeeeee Maratu wa iiiiiiitttttttvvvvviiiiiiii
Keshatungwa mimba huko.... analo la kujibu!!Tupe mjesho mkuu
Anayo.Tupe mjesho mkuu
KimemnataaaAnayo.