Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
DC Sabaya katoa kipigo cha mbwa Koko kwa Diwani akitumia mabaunsa au walinzi wake....!!!!Kamshambulia kwa kipigo au maneno Mkuu?
Wameanza kukulanaKamshambulia kwa kipigo au maneno Mkuu?
Angemukata na mbupu kabisa ira hayatuhusu, hayo yote ni majiziDC Sabaya katoa kipigo cha mbwa Koko kwa Diwani akitumia mabaunsa au walinzi wake....!!!!
Wameanza kukulana
Mbado, na watauana hadi kureee juuWameanza kukulana
Mmeshindwa kumdhibiti nyie kama wanaume? Nyie si huwa mnajisifia watu wa R Chuga? Pambaneni na khali yenu hakuna anayetumbuliwa hapo! Kwanza mkulu mwenyewe anayapenda sana madude ya hivyo!Ole Sabaya anastahili kung'olewa kwenye nafasi ya U-DC hafai na hatoshi!!!
Huyu mtu amejaa uhuni, hana maadili, hana nidhamu na anatumia madaraka aliyopewa vibaya kwa kunyanyasa raia.
Rais MAGUFULI kama Mamlaka ya Uteuzi tuondolee huyu mhuni, kibaka na gaidi wa kisiasa!

Apelekwe Tarime akakutane na Bwana Zakaria hukoMmeshindwa kumdhibiti nyie kama wanaume? Nyie si huwa mnajisifia watu wa R Chuga? Pambaneni na khali yenu hakuna anayetumbuliwa hapo! Kwanza mkulu mwenyewe anayapenda sana madude ya hivyo!
Huyo hana nafasi kwa Kakurwa. Subirini.
Kichapo kina week 2 sasa wewe ndio unaleta habari hadi Diwani wetu wa Sombetini keshapona.Ole Sabaya anastahili kung'olewa kwenye nafasi ya U-DC hafai na hatoshi!!!
Huyu mtu amejaa uhuni, hana maadili, hana nidhamu na anatumia madaraka aliyopewa vibaya kwa kunyanyasa raia.
Rais MAGUFULI kama Mamlaka ya Uteuzi tuondolee huyu mhuni, kibaka na gaidi wa kisiasa!
Sabaya ni Bashite type. Huyu jamaa anajiona sana yupo juu ya sheria na kupiga piga watu ndio kawaida yake.