Anaongea yeye sababu hajaibiwaWale waliojeruhiwa na kuporwa mipesa yao itakuwaje? 100m wengine 90mil daaaaa
Habari za Mchana.
Mimi pia naona makosa mengi ya Sabaya ni ya #kisiasa japo mashitaka ni ya #kisheria.
Makosa haya ya kisiasa yanasameheka. Sabaya hatakuwa wa kwanza kusamehewa na mama kwa kumshauri DPP kumfutia makosa yote yanayomkabili na kushawishi ashinde rufaa kwa kesi ambayo tayari amehukumiwa na amekata rufaa.
Naamini akisamehewa atakuwa na adamu, heshima, utii, uadilifu na kufuata sheria
Haya mambo yanawezekana.
Makosa haya yanasameheka.
Kama kutakuwa na mtu mwenye malalamiko basi akafungue kesi kama yeye na sio kusaidiwa na Jamhuri kwa kesi ambayo kwa Jamhuri inaonekana kabisa makosa ni ya kisiasa zaidi.

Wezi wengi wa mali za umma wameachiwa kwa kile kilichoitwa Plea Bargain wakati wa JPM, wakati wa mama wengine wakaachiwa bure hata wenye tuhuma nzito za ugaidi(mashehe) na wale wa ESCROW na wengine wamerudishiwa hela zao.Ungekua DPP wewe ungefungulia wahaifu wengi sana warudi mtaani, na wengine wangerudi kumalizia kazi walizoziacha za kihalifu na kusababisha maafa zaidi
Wezi wengi wa mali za umma wameachiwa kwa kile kilichoitwa Plea Bargain wakati wa JPM, wakati wa mama wengine wakaachiwa bure hata wenye tuhuma nzito za ugaidi(mashehe) na wale wa ESCROW na wengine wamerudishiwa hela zao.
Hata tukiwaachia wote wenye mashataka yenye harufu ya kisiasa. Watu waje mtaani waanze upya. Hata wale wenye makosa madogo madogo tuwaachie waje mtaani kuanza upya. Hata wenye makosa makubwa kama wale watoto wa Bunju waachiwe waje waanze upya.Sasa kama ndiyo hivyo mitazamo ya wengi ilivyo basi ujue tunashida sana, hatuwezi kuwaachia kila watu wahalifu kwa mitazamo ya makosa ya kisiasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuuHata tukiwaachia wote wenye mashataka yenye harufu ya kisiasa. Watu waje mtaani waanze upya. Hata wale wenye makosa madogo madogo tuwaachie waje mtaani kuanza upya. Hata wenye makosa makubwa kama wale watoto wa Bunju waachiwe waje waanze upya.
Na wale walioumizwa na attempt za ugaidi za Mbowe itakuwaje akisamehewa?Wale waliojeruhiwa na kuporwa mipesa yao itakuwaje? 100m wengine 90mil daaaaa
Hebu watajeNa wale walioumizwa na attempt za ugaidi za Mbowe itakuwaje akisamehewa?
Sabaya hakua mwanasiasa alikua mtumishi wa umma period kuna tofauti, aliingiaje kwenye siasa wakati offisi yake haimtaki hajiusishe na majukumu ya kisiasa bali kusaidia wananchi wote bila kubagua kabila, chama nk
Wewe utakuwa ni jambazi mwenzake.Habari za Mchana.
Mimi pia naona makosa mengi ya Sabaya ni ya #kisiasa japo mashitaka ni ya #kisheria.
Makosa haya ya kisiasa yanasameheka. Sabaya hatakuwa wa kwanza kusamehewa na mama kwa kumshauri DPP kumfutia makosa yote yanayomkabili na kushawishi ashinde rufaa kwa kesi ambayo tayari amehukumiwa na amekata rufaa.
Naamini akisamehewa atakuwa na adamu, heshima, utii, uadilifu na kufuata sheria
Haya mambo yanawezekana.
Makosa haya yanasameheka.
Kama kutakuwa na mtu mwenye malalamiko basi akafungue kesi kama yeye na sio kusaidiwa na Jamhuri kwa kesi ambayo kwa Jamhuri inaonekana kabisa makosa ni ya kisiasa zaidi.
Mleta mada nadhani ni moja ya majambazi wenzake na SabayaWale waliojeruhiwa na kuporwa mipesa yao itakuwaje? 100m wengine 90mil daaaaa
Huyo jamaa atakuwa ni jambazi tuUngekua DPP wewe ungefungulia wahaifu wengi sana warudi mtaani, na wengine wangerudi kumalizia kazi walizoziacha za kihalifu na kusababisha maafa zaidi
..kama Magufuli alisamehe walawiti walionajisi watoto wa shule, na akawapokea Ikulu na kufanya nao mazungumzo na maombi, nauona uwezekano wa Sabaya naye kusamehewa.