Sabaya Naye Aachiwe(Asamehewe)

Sabaya Naye Aachiwe(Asamehewe)

Mimi siyo WANANCHI bali ni mwananchi.
Acha kumtegemea Mbowe kula kwako. Dauda hapa angekuambia, kuwa na TIN number yako ili uishi mjini. Utawachukia watu wengi sana kwa kumtegemea Mbowe kuishi kwako.
 
Acha kumtegemea Mbowe kula kwako. Dauda hapa angekuambia, kuwa na TIN number yako ili uishi mjini. Utawachukia watu wengi sana kwa kumtegemea Mbowe kuishi kwako.
Naona bado upo kwenye majonzi baada ya kuondokewa na mumeo.

Hujamaliza eda? Mfuate basi huko akheeraaa
 
Naona bado upo kwenye majonzi baada ya kuondokewa na mumeo.

Hujamaliza eda? Mfuate basi huko akheeraaa
Mbona mnamuwaza sana? Aliwafanya nini hayati? Hizo ndio chuki.
 
#Sabaya na Mbowe wasamehewe na wafutiwe mashitaka.
 
Sabaya na Mbowe wasamehewe au/na kufutiwa mashitaka yanayowakabili.
Mfumo mzima wa Dola ya JMT ifanye jambo kwa ajili ya watu hawa wawili.
Warudi waanze upya. Naamini watakuwa na adamu na heshima.
Hasa Sabaya naamini akitoka atakuwa na adamu na heshima kwa wakubwa wake na hata kwa watu wote.
 
Habari za Mchana.
Mimi pia naona makosa mengi ya Sabaya ni ya #kisiasa japo mashitaka ni ya #kisheria.
Makosa haya ya kisiasa yanasameheka. Sabaya hatakuwa wa kwanza kusamehewa na mama kwa kumshauri DPP kumfutia makosa yote yanayomkabili na kushawishi ashinde rufaa kwa kesi ambayo tayari amehukumiwa na amekata rufaa.

Naamini akisamehewa atakuwa na adamu, heshima, utii, uadilifu na kufuata sheria
Haya mambo yanawezekana.
Makosa haya yanasameheka.

Kama kutakuwa na mtu mwenye malalamiko basi akafungue kesi kama yeye na sio kusaidiwa na Jamhuri kwa kesi ambayo kwa Jamhuri inaonekana kabisa makosa ni ya kisiasa zaidi.
Mkuu umesahau alivyochoma bisibis watu?
 
WEZI KAMA SABAYA hakuna kusamehewa
 
Na aombwe msamaha pia kwa kusumbuliwa na kupotezewa muda wake
 
Shemeji vumilia sabaya anavotoka atakua na miaka 65 au 70 Kama amekuacha namimba Basi atakuta mwanae mkubwa tu
 
Hizi kesi ni mtu na mdogo wake, pipa na mfuniko wake. Wote wawili wasamehewe. Warudi mtaani au kwenye siasa lakini wawe na adamu na heshima kwa mama.
#SABAYA naye asamehewe.
Hakuna lisilosameheka. Hata Mungu tunamkosea mara kwa mara lkn mafundisho ya dini na imani vinatuambia tukiomba msamaha na kutubj, tunasamehewa.
Mama SSH, RJMT(PoURT), nakuomba umsamehe Sabaya.
Uko sahihi, utofauti wake Ni kuwa Kuna mmoja anajifanya Hana hatia kwa kuiaminisha jamii mwingine anahatia kwa kuaminishwa na jamii, ila pia mmoja anawatetezi(wanasiasa) mwingine Hana wa kumtetea zaidi Mungu
 
JF ni sub-pillar ndani ya JMT.
 
Kesi zote zenye kugawanya jamii zinapaswa kufutwa kwa maslahi mapana ya Taifa. Hatuwezi kufanya maamuzi ya kuwakomla mtu mmoja mmoja kumbe tunaikomoa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom