Sabaya Naye Aachiwe(Asamehewe)

Wewe utakuwa ni jambazi mwenzake.

Kwa mtanzania mwema na mpenda amani hawezi kushangilia kuachiwa huru kwa jambazi katili kama Sabaya.

..hao walishangilia magufuli alipoachia Babu Seya na Papii walawiti watoto wa shule. Halafu wakapokelewa Ikulu.
 
Ubarikiwe
 
Sabaya hakua mwanasiasa alikua mtumishi wa umma period kuna tofauti, aliingiaje kwenye siasa wakati offisi yake haimtaki hajiusishe na majukumu ya kisiasa bali kusaidia wananchi wote bila kubagua kabila, chama nk
Ni jambazi sugu
 
sabaya ni wa CCM na alifanya yote hayo akiwa CCM - kwa hiyo kumwamchia ama kutomwamchia imo mikononi wa CCM, sisi wananchi wa kawaida kwa habari kama hii ni kama mnatushosha tu.
 
Sabaya makosa yake yapo wazi na yana ushahidi.. Msilinganishe kesi za kuzushiwa na kesi zenye ushahidi

..mtu anapozushiwa kesi inafutwa, hasamehewi. Magufuli alisamehe walawiti watoto waliohukumiwa na mahakama ya rufaa ya Tz.
 
..mtu anapozushiwa kesi inafutwa, hasamehewi. Magufuli alisamehe walawiti watoto waliohukumiwa na mahakama ya rufaa ya Tz.

Mnaichezea katiba mnavyotaka kuvunja haki na kutotenda usawa...sahivi mnachukulia kesi ya ugaidi kama ya kumtoa na sabaya haliwezekani hilo, sabaya ana hatia na anatakiwa kutumikia kifungo
 
Hata Mbowe namuonea huruma jinsi kesi inavyomuelemea. Wote wawili wasamehewe au wafutiwe mashitaka yanayowakabili.
 
Mimi ni raia mwema tu mwenye huruma na Sabaya. Mungu akusamehe kwa kuniwazia mimi kuwa ni jambazi
Wewe ni jambazi kwa hiyo kauli yako ya kuomba serikali imuwachie jambazi katili kama Sabaya.
 
Mnaichezea katiba mnavyotaka kuvunja haki na kutotenda usawa...sahivi mnachukulia kesi ya ugaidi kama ya kumtoa na sabaya haliwezekani hilo, sabaya ana hatia na anatakiwa kutumikia kifungo
Hata wengi waliosamehewa walikutwa na hatia. Mfano ni Babu Seya na wenzake.
 
Mimi siyo WANANCHI bali ni mwananchi.
Basi hizo ni hisia zako. Sio za wananchi. Ni hisia zako za chuki dhidi ya Sabaya kisa tu Mwenyekiti alikosa ubunge wakati Sabaya akiwa DC Hai.
 
Basi hizo ni hisia zako. Sio za wananchi. Ni hisia zako za chuki dhidi ya Sabaya kisa tu Mwenyekiti alikosa ubunge wakati Sabaya akiwa DC Hai.
.....Sabaya ni jambazi sugu na katili....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…