kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Unasema au unatania? Nani ambaye angemfungulia mashtaka mteule pendwa kabla watu wasiojulika kufanya yao? Kuna watu walitolewa bastola hadharani lakini hakuna aliyeajibika, kuna watu walivamiwa kazini kwao kwa silaha lakini hakuna aliyewajibika, kuna watu walimiminiwa risasi hadharani lakini hadi leo kimya, kuna waliopotea mpaka leo wahajulikani walipo.Sabaya aliufanya ubaya wote huo kwa nafsi yake mwenyewe!! Alitumia vibaya nafasi yake. Lakini pia jamii ilifanya makosa sana kudhani kuwa alikuwa analindwa na JPM. Kwa hiyo Sabaya alipofahamu kuwa jamii inadhani yeye ni kipenzi cha JPM alitumia dhana hiyo kufanya ubaya!! Hata kama JPM angekuwepo bado kama angepatikana mtu wa kumfikisha kwenye vyombo vya sheria angeshughulikiwa tu vilivyo tena na zaidi.
Ingekuwa vigumu MTU kufungua mashitaka kwa watu wa aina ya Sabaya, kwanza kesi kama ni hakimu yupi angeisikiliza?