Sabaya under probe for seven other claims

Sabaya under probe for seven other claims

Huyu jambazi Sabaya, sijui kama umri wake utatosha kutumikia kifungo cha makosa yake kiusahihi. Asije akaondoka Duniani kabla ya kumalizia adhabu yake ya kifungo.

Nasikia siku hizi wameondoa ule utaratibu wa Mwingereza wa kama mtu amepangiwa kutumikia kifungo cha muda fulani, halafu akafariki akiwa jela kabla ya kumaliza, anazikwa viwanja vya magereza, kaburi lake linafungwa mnyororo, miaka aliyopangiwa kutumiia jela ikisha, mnyororo unafunguliwa, ndugu zake wanataarifiwa kuwa ndugu yao amemaliza kifungo, ila amefariki.
 
Back
Top Bottom