Sabby Angel: Nitamtuliza Diamond

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii wa bongo movie na mwanadada mrembo amefunguka wakati akifanyiwa interview na gazeti la Mwananchi yeye ndio mtu atakayemtuliza Diamond cos asimilia kubwa ya wanawake hasa Hawa maarufu wanampenda Diamond kwasababu ya umaarufu na pesa hawana mapenzi ya kweli lakini pia wauzungu mwingi ni watu hata kupika kwao ni shida mwanamke lazima umtreat mwanaume Kama mtoto sasa hao wanawake wanathamini urembo wao kuliko kumuhudumia mwanaume.



Akafunguka Zaidi akasema kila mwanamke akiachwa na Diamond anasema Diamond ni tatizo lakini ukiwaangalia background ya mahusiano yao wanna list ndefu ya wanaume Kama Diamond pekee ni tatizo mbona wao wameshindwa kudumu na hao wanaume before hawajakutana na Diamond? ameuliza hivyo inamaana wanaume waliodate nao wote wanamatatizo lakini wao ni perfect? akauliza hivyo Tena.



Akaendelea me ni mtoto wa kitanga ninajua kuhandle wanaume na Diamond akinikabidhi moyo wake hatajuta kuwa na Mimi kwanza Nina maisha mazuri na umaarufu nishaupata kwenye movie teyali nina maduka mawili Ninamiliki pamoja na salooni mbili.

Nini maoni yako kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…