Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Anataka akabidhiwe Moyo wa diamond.Naona katoa kadi ya mwaliko kwa bwana Almasi
Sasa sijui mwenye moyo wake ataishije
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka akabidhiwe Moyo wa diamond.Naona katoa kadi ya mwaliko kwa bwana Almasi
Ongezea sanitizer =santinaizaNimesikia misamiati mipya katika hili tukio,
Corona =Kolonya
Masks =Maks
Quarantine = Garantii
Hivi wabongo mtaacha lini visa?
Kama amesema hivyo ujue Hana boyfriendAnataka akabidhiwe Moyo wa diamond.
Sasa sijui mwenye moyo wake ataishije
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann wew usijiongeze?Kama amesema hivyo ujue Hana boyfriend
Huyo demu si wa aina yangu ingawa ni demu mzuri.Kwann wew usijiongeze?
Kwann siyo wa aina yako?Huyo demu si wa aina yangu ingawa ni demu mzuri.
Me sipendi kuwa na uhusiano na wanawake maarufuKwann siyo wa aina yako?
Kwann sasa wakati we ni mwanaumeMe sipendi kuwa na uhusiano na wanawake maarufu
Si kila mwanaume lazima amle kila mwanamke.Kwann sasa wakati we ni mwanaume
Udhaifu huoSi kila mwanaume lazima amle kila mwanamke.
Mwarabu wa Nzega may beYuko vizuri ni Mwarabu?
Kwahiyo mzee baba uchagui?kwa hiyo unakula chochoteUdhaifu huo